GE2025 Zitto Kabwe: Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina ndiye rais atakaye waachia huru

GE2025 Zitto Kabwe: Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina ndiye rais atakaye waachia huru

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina atawaachia Uhuru, waleambao nyumba zao za Ibada zimefungwa Luhaga Mpina ndiye Rais atakaye fungua uhuru wa watu kuabudu kwa muujibu wa imani yao na katiba ya nchi amesema Zitto Kabwe

 
Yaani anamaanisha kikao Chao walichokaa na Samia Lissu hataachiwa mpaka uchaguzi upite.Zitto ni zaidi ya Shitani
 
6171.jpg

Kwa hiyo tusiabudu mpaka tumsubirie Mpina achaguliwe na kuapishwa ndio aje kutufungulia makanisa yetu?, kwa hiyo Mpina kazi yake ya Kwanza ni kuja kufungua makanisa? Daaah dalali umefilisika
 
Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina atawaachia Uhuru, waleambao nyumba zao za Ibada zimefungwa Luhaga Mpina ndiye Rais atakaye fungua uhuru wa watu kuabudu kwa muujibu wa imani yao na katiba ya nchi amesema Zitto Kabwe

View attachment 3443265

Kwamba hapo anategemea kura za wafuasi wa Gwajima na CHADEMA. Ujinga mzigo.
 
Back
Top Bottom