Zitto Kabwe; Wananchi hawana furaha

Mungu hakutuweka hapa Duniani ili tuwe na ,, furaha“ hata ukiangalia cinema za Yesu hakuna mahali ambapo niliona Yesu akicheka cheka hovyo na kula bata kwa furaha, Yesu alikuwa anajua maisha ni magumu ndo maana hakuwa na ,,furaha“ bali alikuwa anajitahidi kujituma kupunguza matatizo na siyo kucheka cheka upuuzi eti furaha huku ukiiba fedha za Wananchi.

Maisha ni magumu ni mtu low IQ tu ndo anaweza kuwa na ,,furaha“ Dunia hii, furaha ya nini wakati najua muda wowote nakufa, naweza ugua, au kupoteza girlfriend wangu, Mzazi wangu kaambiwa ana saratani isiyotibika, sasa furaha inatokea wapi?
 
hizo hela za bata anatoa au amesema tu.
 
Anayepingana na ukweli ni chizi tu kama wale wa Mirembe. upo msibani unaambiwa huna furaha Unabisha! Basi we mchawi kama si chiz
 
Huwa watu wanalalamika vizuri sana lakini unapofika wakati wa kupiga kura wanawachagua wale jamaa bila hata kufikiri.
 
Umekosea, Yesu alichukua huzuni zetu na masikitiko ili tuwe na furaha. Biblia inasema furahini katika Bwana siku zote! Mungu anataka tuwe na furaha kila iitwapo leo.
 
Usituambukize Upuuzi wako tafadhali
 

Hii imenigusa[emoji22]
 
Zitto anapigania tumbo lake

Sisi Wananchi tupo shambani tunapambana na msimu

Tunakula magimbi tuna furaha na amani

Labda anawazungumzia Wananchi wa Twitter ambao hawafiki hata 0.1% ya Watanzania
Hayo magimbi ni sh.ngap yatakupa upeleke ada za watoto shule, hospitali,malazi,nyanya,mafuta. Nk nk au unaongea vile una mihemko na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…