Zitto Kabwe; Wananchi hawana furaha

Imeandikwa katika maandiko matakatifu "Mungu hakutuweka duniani kwa hasira zake" kwahiyo siku zote Mungu anataka tuishi kwa furaha na amani,ila maovu yetu yanazid kutuweka mbali na ahadi zake.
 
Zitto anapigania tumbo lake

Sisi Wananchi tupo shambani tunapambana na msimu

Tunakula magimbi tuna furaha na amani

Labda anawazungumzia Wananchi wa Twitter ambao hawafiki hata 0.1% ya Watanzania
Kila mtu anapigania tumbo kuanzia kaka mkuu mpaka kiongozi wa mtaa, wote wanagombea matumbo yao. Hayo mengine ni ziada baada ya kushiba kwa sababu wasingekuwa wanalipwa pesa nyingi wasingegombea nyadhifa walizo nazo
 
Watu mnajua kupenda kitu asee, yaani hata kikionekanaje bado mtatafuta maneno ya kuonesha hapana shida
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zito pambana na hali yako sisi wananchi tuna Amani na furaha tele


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…