Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakika
... hakuna la kujivunia hapo! Bila mifumo imara na thabiti kuhakikisha uhuru wa wananchi unalindwa; kuhakikisha demokrasia inashamiri ni upuuzi mtupu! Tatizo la nchi hii ni kutegemea hisani za watawala badala ya haki za kikatiba na kisheria.
Leo Samia anasifiwa (kwa kiasi chake), kesho akiibuka "mwehu" atatumaliza! Let's seek for permanent solution badala ya "hewala bwana".