Zitto Kabwe: Watu wapo huru kwa sasa, hawaogopi kuzungumza

Hakika
 
Nimekuwa nikisema Zitto ni genius ameliona hili la wabunge wa ccm kuwa 97% kwenye bunge., tukienda na hiyo katiba ni kituko tu kile kile as usually, tutapewa katiba mpya ambayo tutaichoka wiki hiyo hiyo ata kabla ata mwaka otherwise nakubaliana naye uhuru watu kusema upo ni tofauti sana kulinganisha na wakati wa mwendazake hili lazima tukiri ingawa si wa kujiachia saana kiivyo lakini watu wanasema sema hakuna kukamatwa kamatwa kiholela na kubambikiwa, imepungua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…