Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kamati ya Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kukaa kikao cha dharura usiku wa leo Oktoba 15, 2025 ili kujadili na kuamua ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Urais au watampigia nani.
"Usiku wa leo kamati ya uongozi wa chama chetu chini ya kiongozi wetu wa chama Dorothy Semu kitafanya kikao cha dharura kwa ajili ya kutoa maelekezo kwa wanachama namna gani tutapia kura ya urais na kama kamati ya maamuzi itafikia muafaka kama sio leo au kesho nitatangaza rasmi maelekezo hayo ya chama kuhusu nafasi ya mgombea Urais" amesema Zitto.