GE2025 Zitto: Kesho tutawaambia namna ya kupiga kura ya urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mda wa Mungu kujidhiirisha unawadia!
Mchana kweupee.
 
Anazidi kuwa chizi tu huyu πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Kuna mabwege walikuwa wanamuamini, kwa instincts sikuwahi kumuamini since day one. Alikuwa anabebwa na power ya CHADEMA akajihisi ni influential politician kutoka akawa amejimaliza kisiasa na kibaya zaidi kujiuza kwa Kikwete na team mtandao kuibomoa CHADEMA ndiyo kukampoteza kabisa sasa hana tofauti na Lipumba.
 
Umemuuza Mpina sasa unataka uwadanganye wanachama wako tena.

Hicho kipengele cha mtu kujiunga walau siku saba kabla mchakato haujaanza na nchkjato wenu ulianza Mei. 2025 ulikuwa hukijui?
Mpina sasa anajuta kukufahamu.
 
Hesabu zake CCM wamwachie Jimbo akili ndo maana kasema Kesho atasema kura wampe nani zitto muhuni sana
 
Hawa walishindwana na Mbowe kwenye Maslahi tu...Mtu na mwanae lao moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…