Zitto: Kesi nyingi za uhujumu uchumi ni za kubambika na kukomoa sasa wanatafuta hela. Nchi ya GANGSTERISM 100%

Zitto: Kesi nyingi za uhujumu uchumi ni za kubambika na kukomoa sasa wanatafuta hela. Nchi ya GANGSTERISM 100%

Hata wewe jisemee mwenyewe kwani una roho mbaya unanufaika kupitia blackmail kuwakomoa watu gerezani ndiyo maana haujui ubaya wa kuwabambikia watu kesi
Chief umekurupuka nilikua naquote post #48 kuna mtu amejipa kazi ya usemaji, wala sikumaanisha wewe. Kaisome hiyo post.
 
Watu sio maji kuwa hayana idadi/hayahesabiki.

Ni vizuri ataje majina ya watu anaodai wamebambikiwa kesi ya uhujumi uchumi ili tuwajue kuliko kuongea lugha za kisiasa.

Kinyume cha hivyo ni kutafuta tambo za kisiasa!
We jamaa bhna, sijui unawaza kwa kutumia nini!

Hivi Serikali hii ilivyo ya Makamera, hao wahujumu uchumi si wangekuwa wameshashtakiwa siku nyingi ili ile Mahakama ionekane inafanya kazi.

Hii Mahakama acha ibakie kama ilivyo, najua viongozi wengi wa awamu hii watahukumiwa hapo.
 
kwahivyo hoja nzuri ulizotoa zinawasafisha Seth na Ruge kuwa sio wahujumu?
Alietoa rushwa na aliepokea rushwa wote inabidi wachukuliwe hatua, iweje sasa kina Ngeleja na wenzake kina Joka la makengeza wanadunda mtaani? Na kama kweli hawa ni wahujumu uchumi sasa mbona uchunguzi haukamiliki miaka mi4 yote? Wamefukunyua huko wakaona hakuna dalili ya kushinda kesi ndio wamekuja na gia nyingine ya nipe nikupe.

Watz tuna akili nyie wa huko lumumba endeleeni kuwa misukule
 
Hivi wale walikula fedha ya mzee Ruge, nafsi zao haziwasuti???
 
Mzee mchonga Meno mzushi na mnafiki sanaaa...katiba aliitunga mwenyewe! Sasa kama ilikuwa ya ovyo kwaninihakuibadilisha kabla hajaachia ngazi?!!
Huwa nayakumbuka maneno ya Baba wa taifa. "Katiba ya Tanzania imempa madaraka makubwa sana Rais wa Tanzania. Siku akiingia madarakani mwendawazimu, tutapata shida". Hayo ni maneno ya Nyerere. Nitawaletea video clip, ninayo.
 
Mzee Ruge nasikia kakataa kuomba msamaha ni bora afie jela
 
MsemajiUkweli

Mmoja wa hao watu ni Yusuph Manji!!! Badala ya kumpa kesi ya uhujumu uchumi, kuhatarisha usalama wa taifa, na utumiaji wa dawa za kulevya... alikumbwa na hatia ipi miongoni mwa hizo?!

Mtakana sana, lakini serikali hii wakati mwingine huwa inafanya mambo kwa kukomoa raia wake!!! Ni kutokana na ukweli huo, ndo maana wengi wanaokuwa target ni lazima wapewe kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji pesa kwa sababu ni kesi zisizo na dhamana!!

Lengo ni kuwakomoa wahusika kwamba lazima wakae ndani!!

Na kweli, wengi wanakaa ndani lakini mwisho wa siku, majority wanakutwa kutokuwa na hatia na mashitaka mazito kama hayo... but who cares! Mission Accomplished! WASHAKOMOLEWA TAYARI!!

Aidha ni juzi tu hapa Evans Aveva na Godfrey Nyange (Kaburu) wamefutiwa mashitaka ya utakatishaji wa fedha huku wakiwa wamekaa mahabusu kwa miezi kadhaa!!

Turudi kwa akina Rugemarila!! Kama lengo sio kuwakomoa kwanini walioshirikiana nao kuchota pesa za Escrow bado wanadunda mtaani?!

Ruge na Singasinga hawakutumia mitutu na vifaru kwenda kuchukua pesa za Escrow bali walipata baraka zote za viongozi waandamizi pamoja na mahakama!! Kwanini basi wawekwe ndani peke yao lakini miezi kadhaa baadae waambie waombe radhi na kutoa pesa ili waachie!!!

Mtu kama Singasinga ambae amedhohofika kweli kweli, hata kama hana hatia, unadhani ataacha kuomba radhi?!

Anyway, endeleeni tu kutetea lakini ukweli utabaki pale pale.
Halafu tukumbushane hapa kwamba uongozi wa awamu iliyopita ulisema hizo hela siyo za Serikali.kule Bungeni nako walipiga makifi wakimuunga mkono Rais aliye pita.
 
Hivi watu kama kina Rugemalila wasingeshikwa mpaka leo kwa subiri ushahidi watu kama akina Zitto wangekuwa wanasema nini majukwaani?

Mkuu akina Zito wangesema wahusika wote wa escrow wakamatwe na sio watu wawili tu.
 
Huwa nayakumbuka maneno ya Baba wa taifa. "Katiba ya Tanzania imempa madaraka makubwa sana Rais wa Tanzania. Siku akiingia madarakani mwendawazimu, tutapata shida". Hayo ni maneno ya Nyerere. Nitawaletea video clip, ninayo.
Una maana gani mkuu? please ongeza sauti
 
Kwa jinsi navo mjua Zitto huwa hafumbii macho jambo ila hili hana reference angetaja hata mmoja so naamini ni mawazo yake na kila mtu anakitu anacho waza.
 
MsemajiUkweli

Mmoja wa hao watu ni Yusuph Manji!!! Badala ya kumpa kesi ya uhujumu uchumi, kuhatarisha usalama wa taifa, na utumiaji wa dawa za kulevya... alikumbwa na hatia ipi miongoni mwa hizo?!

Mtakana sana, lakini serikali hii wakati mwingine huwa inafanya mambo kwa kukomoa raia wake!!! Ni kutokana na ukweli huo, ndo maana wengi wanaokuwa target ni lazima wapewe kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji pesa kwa sababu ni kesi zisizo na dhamana!!

Lengo ni kuwakomoa wahusika kwamba lazima wakae ndani!!

Na kweli, wengi wanakaa ndani lakini mwisho wa siku, majority wanakutwa kutokuwa na hatia na mashitaka mazito kama hayo... but who cares! Mission Accomplished! WASHAKOMOLEWA TAYARI!!

Aidha ni juzi tu hapa Evans Aveva na Godfrey Nyange (Kaburu) wamefutiwa mashitaka ya utakatishaji wa fedha huku wakiwa wamekaa mahabusu kwa miezi kadhaa!!

Turudi kwa akina Rugemarila!! Kama lengo sio kuwakomoa kwanini walioshirikiana nao kuchota pesa za Escrow bado wanadunda mtaani?!

Ruge na Singasinga hawakutumia mitutu na vifaru kwenda kuchukua pesa za Escrow bali walipata baraka zote za viongozi waandamizi pamoja na mahakama!! Kwanini basi wawekwe ndani peke yao lakini miezi kadhaa baadae waambie waombe radhi na kutoa pesa ili waachie!!!

Mtu kama Singasinga ambae amedhohofika kweli kweli, hata kama hana hatia, unadhani ataacha kuomba radhi?!

Anyway, endeleeni tu kutetea lakini ukweli utabaki pale pale.
Baba wa Taifa alifanya kosa kubwa sana alijua mfumo uliopo ni broken na anaweza kufix lakin akauacha maksudi ndo maana mambo yote haya ya kipuuzi yanatokea na ni matokeo ya legacy yake
 
Back
Top Bottom