Albert Einstein
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 394
- 582
Magufuli na phd yake anataka kuiingiza nchi kwenye machafuko, ila ngoja tutafika tuu
kuanzia jioni ya leo ataanza kushughulikiwa mmoja baada ya mwingineCCM ni shetani yasni baba wa Uwongo tangu mwanzo, hata wasipotumwa na mafufuli wataiba tu hata kofia zao za kijani ilimradi watimize neno wizi
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Fungulieni mitandao kama mnajiaminiYa kuambiwa changanya na yako... Usipende kuendeshwa, kila unaloambiwa inakubali tu
Huyu Magufuli amejaa laana na dhambi. Yote haya hutendwa kwa idhini yake
Sjajua unabisha wakati video zipo na kura feki zipoYa kuambiwa changanya na yako... Usipende kuendeshwa, kila unaloambiwa inakubali tu
Dunia duaraaliyefukuza wenye vyeti feki anakamatwa na kura feki
si wamezima mitandaoππNEC wametoa taarifa mida hii.
Wanasema hakuna tatizo lolote ambalo limejitokeza hadi sasa.
Wanasema taarifa za mitandaoni zipuuzwe.
Magufuli na phd yake anataka kuiingiza nchi kwenye machafuko, ila ngoja tutafika tuu
Magufuli na phd yake anataka kuiingiza nchi kwenye machafuko, ila ngoja tutafika tuu
View attachment 1614790
Siku nyingine ukipiga picha ya ushahidi, zoom in ili ushahidi wako uwe wazi.
Chanzo: Zitto Kabwe
Tusimlaumu sana Magufuli ni sisi wenyewe tumejawa na woga ofu kujipendekeza, ubinafsi, na yote hayo yanayofanyika ni wenzetu wachache wanatumika.Huyu Magufuli amejaa laana na dhambi. Yote haya hutendwa kwa idhini yake
Kiukweli aliyetoa hill wazo la wizi wa kura kaiaibisha sana ccm...Viroba vya kura!View attachment 1614831
Watawala wamefanya yao..Mbona facebook hahipatikani ??