Uchaguzi 2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

Uchaguzi 2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

Kwa sasa kila linalowezekana kufanyika Kwa wapinzani Kwa sababu ukweli kwamba, nafasi ya kuambulia chochote hawana!

Wananchi watawapuuza!!
 
Mataifa na dunia nzima wanaangalia tu, wanasubiria mtu fulani mwenye betri ajitangaze mshindi.
 
Jamani, mnaona chochote hapo!? Hakuna kinachoonekana! Watu wanabumba visingizio. Poleni
Hawa wahuni bado sana waendelee kujifunza namna nchi inavyoendeshwa ukifika mwaka 2100 wanaweza kuwa wameiva sasa kushindana ila kwasasa HELL NO.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Muhimu kwetu watanzania wapenda amani ni kuona polisi wamejiandaa kutembeza kichapo kwa wale waliojiandaa kuleta fujo.

Cha kushangaza mpaka mida hii awajaingia barabarani unapoonyesha polisi waliojiandaa psychology unamfanya mtu aliejipanga kufanya uhalifu afikirie mara mbili; lakini wao wanasubiri fujo zianze ndio wajitokeze kama ilivyokuwa Zanzibar jana.
 
Nyie ndio mlipewa pesa za kupiga hizo kura. Baada ya wiki moja pesa zitaisha na watawatupa kama kondomu.
Mimi Nimepiga kura tatu; moja ya rais, ya pili mbunge, na ya tatu diwani. Na nimefanya kazi hiyo kabla ya saa tatu asubuhi ya leo.
 
Watanzania mkikubali huu us***ge sasa hivi haki ya nani mtatawaliwa vibaya sana.
Huu ndiyo mwaka tunakiangusha chama cha majambazi, hakuna next time, leo lazima kiwake
Anza kuingia mtaani uonyeshe mfano punguzeni ukamanda wa kwenye keyboard
 

Attachments

  • Ela7rgWXYAclqXU.jpg
    Ela7rgWXYAclqXU.jpg
    48.6 KB · Views: 1
  • Ela9Y2gVcAEUTwU.jpg
    Ela9Y2gVcAEUTwU.jpg
    109.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom