Uchaguzi 2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

Haya ni mashetani yanayo onekana
 
Yaani hiyo picha hapo ndio kithibitisho?

Mwambie Zitto, Membe anamuita huku
Hapana siyo uthibitisho, subiria wakuwekee kakidole ka kati ndiyo utaamini, sawa dogo?
 
Halafu kuna majizi yanajustify wizi wakati hadi video zipo ! Nkt
 
Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuwatoa MATAGA kwa sanduku la kura ?

Mifumo imeoza kila sehemu
 
Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuwatoa MATAGA kwa sanduku la kura ?

Mifumo imeoza kila sehemu
Mtu mzima kakulia Africa anafikiria madaraka yanaachiwa kwa kipande cha karatasi
 
Wamempiga Wakala wetu hadi kazirai na sisi tunasubiri wamtangaze Kanyasu ili kupiga kiberiti jengo la Halmashauri
Tuma picha tu acheni kua ma keyboard warrior kwa sasa.......tunahitaji tuone yale yote mliyoahidi
 
Chadema jiandaeni kisaikolojia, kile mnachokitarajia hamtakipata asilani. Watanzania tunajua tunacho kitaka. Mungu ibariki Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…