Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Je unadhani watu wakiingia mtaani wewe utakuwa salama?Anza kuingia mtaani uonyeshe mfano punguzeni ukamanda wa kwenye keyboard
Viroba vya kura!View attachment 1614831
Kwahio ukitoa povu ndo mtapata solution.......wakiingia mtaani na mimi naingia kutoa usalama wao hao walioanzisha ....kwani kazi sanaJe unadhani watu wakiingia mtaani wewe utakuwa salama?
Muwe mnatumia vichwa kufikiri nje ya mnacholishwa Tanzania si mali ya chama fulani
Hicho ndicho kiwango chako cha kufikiri kilipokomea!? π π πKwahio ukitoa povu ndo mtapata solution.......wakiingia mtaani na mimi naingia kutoa usalama wao hao walioanzisha ....kwani kazi sana
unataka ushahid wwe ni hakimu, wwe umeona taarifa isome kama hujaielewe kausha... afu tafuta kirefu cha siasa.. utaelewa tuSiku nyingine ukipaga picha ya uhalifu, show details. Zoom in ili ushahidi uwe wazi. Hata tiki hazionekani kwenye hizo karatasi. How do you make your case, Zitto?
nenda kituoni zipo utaonyeshwa mkuuMbona waliokamatwa nazo hawaoneshwi, au ni janja janja ya CDM
waulize tume, huku hakuna jibu sahii mkuuWatuhumiwa waliokamatwa na kura hizo fake wamepelekwa wapi?
ndo ujingaa mnaaminigi ata kwa maalim alivyoshinda wakaubatilisha!!!Ndo mlichokua mnataka Lisu akiruhusu akipewa sapoti na beberu............tinduaneni wenyewe marinda wazalendo hatuna hizo tabia
mzee hayo yanafanyika mahakaman.. huku mtu akuletee details zote unamlipa... au unataka utoe hukumu kwa uthibitisho dhaili.. jiongeze mkuu mambo mengine hayaitaji kukurupuka kwa commentsSiku nyingine ukipaga picha ya uhalifu, show details. Zoom in ili ushahidi uwe wazi. Hata tiki hazionekani kwenye hizo karatasi. How do you make your case, Zitto?
mzee hayo yanafanyika mahakaman.. huku mtu akuletee details zote unamlipa... au unataka utoe hukumu kwa uthibitisho dhaili.. jiongeze mkuu mambo mengine hayaitaji kukurupuka kwa comments
sawa mkuu lakin, ata vyo unaweza ukaprint zinatoka flesh tu!! tena itakuwa zoomed utaona kila kitu!!! wwe umeambiwa hzi taarifa haziko official kwa mujibu wa tume... bado unataka ushahidi wa nni. hii sio kesi ni malalamiko... elewa bas mkuu Siasa haitaji elimu ni kipawa tu....tu-support haki kwa p1 tusikimbize upepo kwa manufaa ya bendela!!!ππUsikurupuke ndugu. Mimi nawaombea mema Lissu na Maalim. Lakini penye ukweli lazima niseme. Wanaoleta hapa habari za uhalifu ni vema ukaonyesha huo uhalifu kweli. Siyo unapiga fungu la makaratasi picha unaweka twitter unasema ni kura zimekamatwa.
sawa mkuu lakin, ata vyo unaweza ukaprint zinatoka flesh tu!! tena itakuwa zoomed utaona kila kitu!!! wwe umeambiwa hzi taarifa haziko official kwa mujibu wa tume... bado unataka ushahidi wa nni. hii sio kesi ni malalamiko... elewa bas mkuu Siasa haitaji elimu ni kipawa tu....tu-support haki kwa p1 tusikimbize upepo kwa manufaa ya bendela!!!ππ