Zitto kuwa mgeni rasmi show ya Mwana FA, huku Sugu akiwa kwa Jide

Status
Not open for further replies.

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Presha ya show kubwa za magwiji wa muziki hapa nchini MWANA FA "The Finest" na lady jay dee" miaka 13 ya jide" imezidi kupanda baada ya show hizo kutawaliwa na wanasiasa, Zitto alisema yeye atakuwa kwa mwana FA, huku mbunge kijana aka kinega sugu akichagua kwenda kwa Jide aka ANACONDA aka binti machozi kutoa full sapoti

Mwana FA atapiga nyimbo zake zote Live akiwa na bendi kongwe na bendi maarufu hapa nchini ya WANANJENJE!
HONGERA KWA HAWA WASANII KWA HATUA WALIYOPIGA........................
 

Attachments

  • jide ANACONDA.jpg
    5.7 KB · Views: 562
  • FA FINEST.jpg
    13.3 KB · Views: 551
nimechoka hizi stori sasa.
Kila kona
we revo kweli tena utakuwa umeajiriwa.
Khaaaa
 
hata iweje. ...kesho saa nne nakwea fasjet kuja jijini kumpa shavu kamanda jide...viva Team ANaconda..
 
Revocatus naomba nifikishie salamu zangu kwa Afande Sele hapo Moro!
 
nimechoka hizi stori sasa.
Kila kona
we revo kweli tena utakuwa umeajiriwa.
Khaaaa

Vumilia kidogo, mwisho wiki hii hautazisikia tena.
 
zitto siku nyingi yupo kundi la wasaliti ,dunia nzima ilishamtoa kwenye kundi la wapambanaji..

By +255

Zitto naye anatumiwa na akina Ruge???!

. Zitto atakuwa na damu ya usaliti, kila kukicha anaisaliti jamii, anaitegemea Clouds watamgeuka, wakati huo jamii nayo tukakuwa tumimchoka,

mara anajifanya msemaji wa taifa starz ama kwa FA, anaelekea mwishoni, kutoka kwa Lwakatale, hana amani kabisa na kibarua chake cha bukoba Boy
cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Zitto naye anatumiwa na akina Ruge???!

Imeshakuwa hivyo!
Yaani ushamtafutia upande!
Kosa lake ni kwenda kwenye show ya Mwana FA; ukienda kwa Jay Dee basi Ruge ni adui yako and vice versa.
 
sijaona tatizo lolote kabisa.
 
Kwani Zitto nae c ni mtu wa kawaida tuu hata akienda Rais haibariki wala kubadilisha nia ovu ya clouds dhidi ya Jaydii.
 
Last edited by a moderator:
Zitto kabwe ni sawa na wala haishangazi kwani inajulikana ni ndumi la kuwili na msaliti tu kama Mwanafatuma,ndege wa rangi moja huruka pamoja!!!
 
Zitto naye anatumiwa na akina Ruge???!


Kama anavyotumika Mwanafa kwa kupewa uraisi wa TFU na kina rugay,kuahidiwa atapewa ubunge wa Muheza kupitia CCM,kupewa ubalozi na usemaji wa FISTULA ili hali yeye si mwanamke na wala sio daktari( kwa akili yako amepewa ubalozi wa fistula kwa vigezo vipi yeye,linah,barnaba na kina mwasiti??!!))))

Teteeni dhulma na upumbavu lakini hatutaacha kuwaambia ukweli,cha ajabu hamtetei wala kukanusha tuhuma za clouds kujaza watangazaji mashoga!!!
 
Zitto akiibuka show ya kina Ruge basi naamini Zitto msaliti hafai kuwa Rais
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…