hata iweje. ...kesho saa nne nakwea fasjet kuja jijini kumpa shavu kamanda jide...viva Team ANaconda..
Presha ya show kubwa za magwiji wa muziki hapa nchini MWANA FA "The Finest" na lady jay dee" miaka 13 ya jide" imezidi kupanda baada ya show hizo kutawaliwa na wanasiasa, Zitto alisema yeye atakuwa kwa mwana FA, huku mbunge kijana aka kinega sugu akichagua kwenda kwa Jide aka ANACONDA aka binti machozi kutoa full sapoti
Mwana FA atapiga nyimbo zake zote Live akiwa na bendi kongwe na bendi maarufu hapa nchini ya WANANJENJE!
HONGERA KWA HAWA WASANII KWA HATUA WALIYOPIGA........................
Duh! hapo Mh Zitto amechemsha Huyu Mwana FA niliemwona kwenye Bango la kampeni la kuchangia ccm?
Ushawishi wa Diva aka loveness sauti ya konokono.
Chezeya delila weye
Zitto kabwe ni sawa na wala haishangazi kwani inajulikana ni ndumi la kuwili na msaliti tu kama Mwanafatuma,ndege wa rangi moja huruka tundu moja!!
zitto siku nyingi yupo kundi la wasaliti ,dunia nzima ilishamtoa kwenye kundi la wapambanaji..
Katika dunia ya leo usithubutu kupambana na mwanamke, wewe mwanaume utashindwa tu, katika janga hili ruge and co mtaumia zaidi, sympathy aliyotengeneza jide itawahukumu hadi kaburini. Dunia ya leo wanawake ni very powerful , ndivyo ilivyo, wao ni wazazi, ni walezi, na wengi sasa wamethubutu mfumo dume hauna nafasi, wanaume tujifunze kuto under rate nguvu za wanawake.
Phd ( safarini QUBEC)
Kama anavyotumika Mwanafa kwa kupewa uraisi wa TFU na kina rugay,kuahidiwa atapewa ubunge wa Muheza kupitia CCM,kupewa ubalozi na usemaji wa FISTULA ili hali yeye si mwanamke na wala sio daktari( kwa akili yako amepewa ubalozi wa fistula kwa vigezo vipi yeye,linah,barnaba na kina mwasiti??!!))))
Teteeni dhulma na upumbavu lakini hatutaacha kuwaambia ukweli,cha ajabu hamtetei wala kukanusha tuhuma za clouds kujaza watangazaji mashoga!!!
Naona hapo ni mtifuano wa Sugu na ZittoPresha ya show kubwa za magwiji wa muziki hapa nchini MWANA FA "The Finest" na lady jay dee" miaka 13 ya jide" imezidi kupanda baada ya show hizo kutawaliwa na wanasiasa, Zitto alisema yeye atakuwa kwa mwana FA, huku mbunge kijana aka kinega sugu akichagua kwenda kwa Jide aka ANACONDA aka binti machozi kutoa full sapoti
Mwana FA atapiga nyimbo zake zote Live akiwa na bendi kongwe na bendi maarufu hapa nchini ya WANANJENJE!
HONGERA KWA HAWA WASANII KWA HATUA WALIYOPIGA........................