tatizo lenu mnatoa hoja hapa kwa kutumia "masaburi" kufikiria. Mhe. Zitto Kabwe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Hesabu za Masahirika ya Umma. Tanesco ni shirika la Umma, ambalo Mhe. Zitto na Kamati yake wanapitia Hesabu zake. Acheni chuki binafsi.Ni sifa zipi zimetumika kwa Zitto kuwa ktk huo mdahalo wakati yeye sio waziri kivuli wa nishati na madini?
Mkullo
Guys nyie ndio ambao huwa mnaharibu credibility zenu, post zenu zote hazina hoja, hazina ujazo wala haziwezi kumsaidia mtu yeyote zaidi ya majungua ambayo unajua yanapikwa na wajinga fulani fulani hivi
1. Nani kaitisha mdahalo?
2,. Je walimualika Zito au alijialika?
3. Je walialika chadema kuwa wachague mtu na chadema imemchagua zito?
4. Je mdahalo ni lazima awepo waziri kivuli? criteria hii ana iset nani? zito au waandaaji
5. why zito?
kwenye maswala ya energy huwezi ukamfananisha Mnyika na Zito mtu yeyote ambaye hajui uhusika wa zito kwenye nishati lazima aidha kilaza au hajui!
Mnyika ni waziri yes, lakini kwenye upe wa nishati hamfikii Zito..tuseme ukweli
sijawahi kuona article, speech, au swala lolote la kutatua matatizo ya nishati ambayo Mnyika ameishawahi kuweka mezani ..hakuna
in other words output ya Mnyika kwenye energy issues iz zero whether is shadow minister or shallow minister
semeni lingine!
Ni sifa zipi zimetumika kwa Zitto kuwa ktk huo mdahalo wakati yeye sio waziri kivuli wa nishati na madini?
Ukiangalia wajumbe wengine wote wana mahusiano ya moja kwa moja na mambo ya umeme. Hapo ni bora wafanye mabadiliko aende Mnyika ambaye hiyo ni wizara yake na Zitto asubirie siku ya wizara yake apambane na Mkullo
Kweli hata mimi napendekeza waziri kivuli Mh John Mnyika akapambane na hao,maana ndo waziri kivuli wa wizara hiyo,any way kama kunamtu anajua vigezo vilivyotumika basi atuambie
Zitto aje hapa jamvini aseme ni kwann aende yeye wakati waziri kivuli yupo? Hiki kitakuwa kimbele mbele na uroho wa madaraka. km kwenye midahalo tu anakuwa mroho hv je akipata huo urais si atakuwa anaenda hadi kwenye midahalo ya kata
Guys nyie ndio ambao huwa mnaharibu credibility zenu, post zenu zote hazina hoja, hazina ujazo wala haziwezi kumsaidia mtu yeyote zaidi ya majungua ambayo unajua yanapikwa na wajinga fulani fulani hivi
1. Nani kaitisha mdahalo?
2,. Je walimualika Zito au alijialika?
3. Je walialika chadema kuwa wachague mtu na chadema imemchagua zito?
4. Je mdahalo ni lazima awepo waziri kivuli? criteria hii ana iset nani? zito au waandaaji
5. why zito?
kwenye maswala ya energy huwezi ukamfananisha Mnyika na Zito mtu yeyote ambaye hajui uhusika wa zito kwenye nishati lazima aidha kilaza au hajui!
Mnyika ni waziri yes, lakini kwenye upe wa nishati hamfikii Zito..tuseme ukweli
sijawahi kuona article, speech, au swala lolote la kutatua matatizo ya nishati ambayo Mnyika ameishawahi kuweka mezani ..hakuna
in other words output ya Mnyika kwenye energy issues iz zero whether is shadow minister or shallow minister
semeni lingine!
zitto kabwe alikuwa nani aliposimamia hoja ya dowans? Alikuwa nani aliposimamia hoja ya buzwagi? Unaweza ukawa waziri kivuli usiwe na ajenda na unaweza kuwa mbunge wa kawaida na ukawa na ajenda na hoja, huyo ndio zitto.
ZZK ni msomi wa uchumi na sheria, mbunge wa muda mrefu mwanaharakati. Anaupeo na uelewa wa kuelezea TANESCO imefikaje ICU
Ni sifa zipi zimetumika kwa Zitto kuwa ktk huo mdahalo wakati yeye sio waziri kivuli wa nishati na madini?
Ukiangalia wajumbe wengine wote wana mahusiano ya moja kwa moja na mambo ya umeme. Hapo ni bora wafanye mabadiliko aende Mnyika ambaye hiyo ni wizara yake na Zitto asubirie siku ya wizara yake apambane na Mkullo
Ni sifa zipi zimetumika kwa Zitto kuwa ktk huo mdahalo wakati yeye sio waziri kivuli wa nishati na madini?
Ukiangalia wajumbe wengine wote wana mahusiano ya moja kwa moja na mambo ya umeme. Hapo ni bora wafanye mabadiliko aende Mnyika ambaye hiyo ni wizara yake na Zitto asubirie siku ya wizara yake apambane na Mkullo
kwani waziri wa nishati na madini atakuwepo??
by the way, Zitto alijikita kwenye madini na nishati long time.........mpaka mafisadi wakamnunulia hummer!!........sorry......sijasema mimi.
mkuu naungana na wewe. Ninachokiona hapa ni chuki zile zile za siku zote tulizozizoea hapa JF. Kwani huu mjadala ni wa maamuzi? Mbona hamuulizi Geleja kwanini asiwepo? Ukiangalia kwa undani hapo unaweza kujua kitu ambacho wengi wanaopinga Zitto wanachomaanisha. Lakini kwa jamii ya leo hii haitatusaidia hata kidogo. Majungu kila kukicha utafikiri mapenzi kumbe mambo seriuos. Hatutafika popote. hata kwa mijadala tu ambayo kimsingi mimi sioni kama ina maamuzi watu wanaona wivu. kajinyongeni basi. AghaaaGuys nyie ndio ambao huwa mnaharibu credibility zenu, post zenu zote hazina hoja, hazina ujazo wala haziwezi kumsaidia mtu yeyote zaidi ya majungua ambayo unajua yanapikwa na wajinga fulani fulani hivi