Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Tunamlaaani Zitto na timu ya Mabeberu walioamua kuweka document ya SIRI hadharani.. Mabeberu sio wa kuwachekea kabisa ni wachochezi sana..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ
Zitto ameshirikiana na mabeberu kuweka classified infoz hadgarani,anatumika na mabeberu wasioitakia mema nchi hii!!!!
Haiwezekani atoe siri za nchi,makubaliano yalikuwa ya siri!

Natamani dunia ipasuke niingie,nchi hii imelaaniwa!
 
Nimetafakari sana,kama haya ni kweli japo kwa 25% basi nchi hii ina laana!!

Yaani nahitaji kujua walau kidogo tu ukweli wa uchambuzi huu wa ZZK, nimeshtuka, moyo umeniuma sana..! 😳 Kama ni kweli Kabudi ndio ana kiwango kidogo hivi na kulifanyia Taifa letu hivi kweli? Kweli? πŸ˜ͺ Bado siamini kwa sasa, nikijua ZZK ni mpinzani na hawezi support serikali ya JPM, hilo tu ndio linanipa moyo kwa sasa nisiamini.
 
Poa tu.
HujawΓ€i kubali kitu. Hata jimbo lako hulikubali.
 
Yaani nahitaji kujua walau kidogo tu ukweli wa uchambuzi huu wa ZZK, nimeshtuka, moyo umeniuma sana..! 😳 Kama ni kweli Kabudi ndio ana kiwango kidogo hivi na kulifanyia Taifa letu hivi kweli? Kweli? πŸ˜ͺ
Inasikitisha,cha msingi yawekwe hadharani hayo makubaliano tujiridhishe!Ila sidhani Zitto kaandika hili bila kuwa na taarifa za uhakika!
Nilikuwa nashangaa kwanini Barrick walikuwa wamekomaa kumuondoa Acadia njiani,kumbe wameona ndio mwanya wa kutuliza!!!?Daaah,tumepigwa kisawa sawa,hii yote mtu mmoja apate sifa kuwa amefanikiwa kuwaondoa Acasia waliokuwa wanamkwamisha,karuka mkojo kakanyaga mavi,shame!
 
Jana "tulisherehekea" kifo cha ACACIA leo naona Zito anatuliza tena. Nitasubiri majibu (sio matusi) nijue kipi kinaendelea. TRANSPARENCY ndio kitu kitakacho tuua, kuna yale wakina Masiya tuna ambiwa lakini ya munimu zaidi hadi mabeberu watuambie. Ngoja niendelee kusubiri.
 
Hili sio la kupita hivihivi jamani hawa Barrick sio wakucheka nao hata kidogo na akili kubwa inahitajika hapa..

Dola milioni 300 within 7yrs, kumbuka watakuwa wakifanya production tena this time kwa uhuru kabisa na watalipa kirahisi kabisa hiyo hela with no pressure.
 
Very dangerous, needs serious dialogue..

Bunge lilipaswa kuita kikao cha dharula juu ya hili aisee tena haraka sana na Serikali itoe majibu ya kina na kitaalamu, Barrick Mafia sana hawa..


Barrick ni sijawahi waamini kabisa. majizi ya madini yetu
 
Asante sana ndugu Zitto kwa kutufunua macho.
Kilichobaki ni jukumu letu sisi wa Tanzania wenye uchungu na nchi yetu na wala sio wale wanaosema wanatetea wange.

Mungu ataendelea kuwalinda wote mnaotetea raslimali za nchi hizi kwa ukweli bila ya kua na malengo nyuma ya pazia.
Viva Zitto viva Lissu!
Mangungo hatumtaki arudi kwao!
 
Ndugu ujinga tulionao ni kuwapa majukumu the wrong people, kwenye hili la Barrick, kabudi alitakiwa awe mshauri wa mambo ya sheria tuu, lakini ilitakiwa jukumu wapewe wachumi na wenye kujua mambo ya madini. Leo tunawapa majukumu akina Kibajaji, Msukuma, Makonda, Musiba, Murro, nk... tutaenda wapi
 
BARRICK ananunua kampuni hewa ACACIA.

ACACIA kampuni isiyotambulika Tanzania lakini inaendelea kufanya uzarishaji na inauza shares zake 40% ulaya na anayeuziwa anakuja kuendelea na kazi..

ACACIA kampuni isiyotambulika inalipa kodi na kodi inapokelewa na NEMC + other govt institution wanafanya kazi nao na NEMC wanawapiga faini kama kawaida hiyo kampuni hewa..

ACACIA kampuni hewa anafanya operation zake Tanzania huku baba yake BARRICK akiwa ulaya na kushirikiana naye kula faida halafu leo baba aliyeko ulaya ndio tunajifungia naye ndani na kumjadili mtoto mkorofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…