Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Mkuu soma vizuri,watalipa baada ya kuondoa madeni ya Acasia!!!!
 
Serikali ikikanusha na kuleta vielelezo kupinga hoja zako tunaomba na wewe zito ulete vya kwako na sio utokomee bila kuthibitisha
Maana ya Bombardier na Dream liner hujarudi kuthibitisha kuwa ni nzee kwa vielelezo, na watu humu tulikusapoti.
 
this was expected. What's else do you expect from whose advisers are bashit, lusinde and musukuma. The foreign minister is master of marital laws. The president who is fighting opposition cleansing himself from grand corruption. Ben saa8 was right on that fake degree
 
Kaazi kweli kweli! Anyway, ngoja tuone na huo upande wa pili unaoshutumiwa kuingia huo mkataba wa hovyo nao watakuja na hoja gani.

Haiwezekani kila siku tunamshudia mzee baba live kupitia tbccm akiongea kwa uchungu namna mabeberu yalivyoifilisi hii nchi awamu zilizopita, halafu na yeye leo aje kufanya madudu yale yale!
 

..bila Accacia kuwa na utaratibu wa kuweka taarifa zao kwenye mtandao tusingeyajua yote haya.

..Prof.Kabudi aliwahi kusema hata serekali itakapolipwa hawatatangaza.

..kwa hiyo tuna bahati kuwa Accacia wameweka taarifa hizi wazi.

..Sasa tumejua nani ni msaliti, na nani ni kibaraka wa mabeberu.
 
Kaazi kweli kweli! Anyway, ngoja tuone na huo upande wa pili unaoshutumiwa kuingia huo mkataba wa hovyo nao watakuja na hoja gani.

Haiwezekani kila siku tunamshudia mzee baba live kupitia tbccm akiongea kwa uchungu namna mabeberu yalivyoifilisi hii nchi awamu zilizopita, halafu na yeye leo aje kufanya madudu yale yale!
 
Pls umemuelewa zzk unaambiwa hiyo tutalipwa baada ya kuwalipa accasia madai yao ya kodi ambayo ni almost 240 m usd vile ile kuna 85.6 m usd ya kodi ya malipo ya uuzwaji wa hisa za accasia zimesamehewa sasa hapo kwa hesabu za haraka tz gov ndo italipa kama 25.6 m usd kwa Barrick du yaani wazungu ni noma tumepigwa bonge la changa la macho pls kaka p mayalla njoo jukwaani utuponye na haya maumivu
 
Mh.Zitto nimesoma ila nina maswali mengi, nasubiri waziri husika ama Msemaji wa serikali atupe ufafanuzi wa hili saga la makinikia.
Hili swala tujue kwa miaja 2... zaidi ya Watanzania 2000 wamepoteza ajira za moja kwa moja. Wapo wategemezi, wazabuni, kodi nk zimekosekana.
 
Kwa jambo hili Zitto unataka kutuambia kama bunge mna sauti gani, waonaje basi ukalipeleka bungeni ili serikali iwajibike kwa kuvunja sheria mliyoitunga.

..anayepaswa kuiwajibisha serekali ni wabunge.

..na wabunge wengi wanatokana na ccm.

..na wabunge wa ccm wamejipa jukumu la kuitetea serekali, badala ya kuisimamia na kuiwajibisha.

..ndiyo maana ukifuatilia mijadala ya bunge utaona wabunge wa ccm wamekuwa wakiwapinga, wakiwazodoa, na wakiwashambulia wapinzani wanaotaka mawaziri na serekali wawajibike zaidi.
 
Lakini Kuna watu watatoka na kupongezwa juhudi au kutisha watu kuhusu tipoti hii, nasema hiviiiiiiii hao Ni dhaifu kwenye ubongo, Ni dhaifu kwenye mwili, Ni dhaifu kwa wake zao/ waume zao/ dhaifu Hadi kwa shetani!!!!
 
1. Mzalendo Pascal Mayalla, njoo huku utusaidie kubalance uchochezi huu was ZZK
2. Kwa kiasi flani kwa mabeberu walivyo tena hao Barrick nachelea kusema wasingetuacha salama, Ila kama ZZK yuko sahihi, wametupiga pakubwa ilitakiwa watufikirie
3. Hili suala LA kuficha haya ma mikataba litaendelea kututafuna
4. Profesa aliyeokotwa jalalani aje akanushe
 
Zitto ametafsiri alichokisoma kwa namna livyoona yeye japo sivyo ilivyo katika uhalisia wake. Msioelewa Kiingereza na/au misamiati/lugha ya uwekezaji katika tasnia ya uziduaji mtachotwa sana na hekaya hizi za akina Zitto.
 
Kwa hiyo mkubwa huko mbeleni tutakuja kupigwa dole
 
Zitto ametafsiri alichokisoma kwa namna livyoona yeye japo sivyo ilivyo katika uhalisia wake. Msioelewa Kiingereza na/au misamiati/lugha ya uwekezaji katika tasnia ya uziduaji mtachotwa sana na hekaya hizi za akina Zitto.

Mkuu ni vyema nawe ukaipakua taarifa ya kiingereza ukaijadili na kuiweka humu ili tuone uongo wa Zito, hoja hujibiwa kwa hoja na umetuaminisha tatizo ni kiingereza..
 

Acacia kwa Leo ina hisa ngapi? Na kila hisa ni pound ngapi? Maana kufanya valuation of a listed company ni rahisi na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…