Zitto: Mataifa ya Afrika yasiyozingatia masuala ya Demokrasia na Haki za Binadamu yanakimbilia zaidi China

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
276
Reaction score
473
Mwanasiasa na Mchumi, Zitto Kabwe amesema kuwa Mataifa ya Kiafrika ambayo hayazingatii misingi ya kidemokrasia katika utawala ujifungamanisha zaidi na China kwa kuwa Taifa hilo halina utamaduni wa kuhoji juu ya masuala mbalimbali yanayofungamana na haki za binadamu.

"China wanavyosaidia Nchi zetu hawajali haya mambo ya Haki za Binadamu, hawajali maswala ya kidemokrasia wao wanachoangalia ni kwamba watapata faida gani na hiyo Nchi itapata faida gani, kwahiyo kwa mahusiano kama haya Nchi ambazo ni za kidikteta zisizopenda demokrasia, watawala wake wasiopenda kuhojiwa wanapenda zaidi kujiunganisha na China, kwa sababu China haitauliza"

Amesema utaratibu huo upelekea wananchi kuumia, kutokana na masuala ya haki za binadamu kutofungamanishwa na misaada ambayo utolewa au viongozi kutohojiwa kutokana na misaada ambayo utolewa.

"Katika mazingira kama hayo wanaoumia hasa ni raia wa kawaida wa Mataifa hayo ambayo Serikali zao au watawala wao hawawezi kuhojiwa na Watu ambao wanawapa misaada kwa maana uwa tunasema"

Ameyasema hayo katika mjadala wa Meza ya Duara (DW) ambapo ulikuwa ukijadili na kutathimini Mkutano baina ya Afrika na China ambao umefanyika Septemba 4 hadi 6, 2024 nchini China kwa kuwakutanisha baadhi ya viongozi wa Mataifa ya Afrika, ambapo mjadala uligusia masuala mbalimbali ikiwemo ya kisera na kiuchumi.

Aidha akizungumza katika mjadala huo amesema kwa deni la China kwa mataifa ya Afrika ni asilimia 12 ya madeni yote ya Kimataifa, ambapo kwa nchini Tanzania katika deni la Taifa asilimia 9 ni la China.

Source: DW
 
Attachments

Ameyasema hayo katika mjadala wa Meza ya Duara (DW) ambapo ulikuwa ukijadili na kutathimini Mkutano baina ya Afrika na China ambao umefanyika mwanzoni, Agosti 2024 nchini China kwa kuwakutanisha baadhi ya viongozi wa Mataifa ya Afrika, ambapo mjadala uligusia masuala mbalimbali ikiwemo ya kisera na kiuchumi.

Aidha akizungumza katika mjadala huo amesema kwa deni la China kwa mataifa ya Afrika ni asilimia 12 ya madeni yote ya Kimataifa, ambapo kwa nchini Tanzania katika deni la Taifa asilimia 9 ni la China.
Apeleke ujinga wake huko kwa miaka hii karibuni tumeshudia uanfiki wa hicho kinachoitwa haiko na. Democrasia
 
Demokrasia!!?

Hvi ichi gani inafuata kanuni za demokrasia na haki za binadamu?
Ni lile taifa la kitapeli na mabingwa wa props na mauaji ya kila siku au English people wapotoshaji
 
Mwanasiasa na Mchumi, Zitto Kabwe amesema kuwa Mataifa ya Kiafrika ambayo hayazingatii misingi ya kidemokrasia katika utawala ujifungamanisha zaidi na China kwa kuwa Taifa hilo halina utamaduni wa kuhoji juu ya masuala mbalimbali yanayofungamana na haki za binadamu.

"China wanavyosaidia Nchi zetu hawajali haya mambo ya Haki za Binadamu, hawajali maswala ya kidemokrasia wao wanachoangalia ni kwamba watapata faida gani na hiyo Nchi itapata faida gani, kwahiyo kwa mahusiano kama haya Nchi ambazo ni za kidikteta zisizopenda demokrasia, watawala wake wasiopenda kuhojiwa wanapenda zaidi kujiunganisha na China, kwa sababu China haitauliza"

Amesema utaratibu huo upelekea wananchi kuumia, kutokana na masuala ya haki za binadamu kutofungamanishwa na misaada ambayo utolewa au viongozi kutohojiwa kutokana na misaada ambayo utolewa.

"Katika mazingira kama hayo wanaoumia hasa ni raia wa kawaida wa Mataifa hayo ambayo Serikali zao au watawala wao hawawezi kuhojiwa na Watu ambao wanawapa misaada kwa maana uwa tunasema"

Ameyasema hayo katika mjadala wa Meza ya Duara (DW) ambapo ulikuwa ukijadili na kutathimini Mkutano baina ya Afrika na China ambao umefanyika Septemba 4 hadi 6, 2024 nchini China kwa kuwakutanisha baadhi ya viongozi wa Mataifa ya Afrika, ambapo mjadala uligusia masuala mbalimbali ikiwemo ya kisera na kiuchumi.

Aidha akizungumza katika mjadala huo amesema kwa deni la China kwa mataifa ya Afrika ni asilimia 12 ya madeni yote ya Kimataifa, ambapo kwa nchini Tanzania katika deni la Taifa asilimia 9 ni la China.

Source: DW
Rubbish! Huu ni uchafu tu! Israel inakiuka haki za Palestina kwa support ya China? Saudi Arabia inakiuka haki za raia na kuteka akina Kashoggi kwa msaada wa China? Hapa TZ tunateka na kuua raia kwa msaada wa China? Pale DRC mapigano na haki kukanyagwa kwa msaada wa China? Sehemu kubwa ni US na Uropu!

Huyu Kielimu ni kanjanja, Kisiasa ni kanjanja! name it....!
 
Mwanasiasa na Mchumi, Zitto Kabwe amesema kuwa Mataifa ya Kiafrika ambayo hayazingatii misingi ya kidemokrasia katika utawala ujifungamanisha zaidi na China kwa kuwa Taifa hilo halina utamaduni wa kuhoji juu ya masuala mbalimbali yanayofungamana na haki za binadamu.

"China wanavyosaidia Nchi zetu hawajali haya mambo ya Haki za Binadamu, hawajali maswala ya kidemokrasia wao wanachoangalia ni kwamba watapata faida gani na hiyo Nchi itapata faida gani, kwahiyo kwa mahusiano kama haya Nchi ambazo ni za kidikteta zisizopenda demokrasia, watawala wake wasiopenda kuhojiwa wanapenda zaidi kujiunganisha na China, kwa sababu China haitauliza"

Amesema utaratibu huo upelekea wananchi kuumia, kutokana na masuala ya haki za binadamu kutofungamanishwa na misaada ambayo utolewa au viongozi kutohojiwa kutokana na misaada ambayo utolewa.

"Katika mazingira kama hayo wanaoumia hasa ni raia wa kawaida wa Mataifa hayo ambayo Serikali zao au watawala wao hawawezi kuhojiwa na Watu ambao wanawapa misaada kwa maana uwa tunasema"

Ameyasema hayo katika mjadala wa Meza ya Duara (DW) ambapo ulikuwa ukijadili na kutathimini Mkutano baina ya Afrika na China ambao umefanyika Septemba 4 hadi 6, 2024 nchini China kwa kuwakutanisha baadhi ya viongozi wa Mataifa ya Afrika, ambapo mjadala uligusia masuala mbalimbali ikiwemo ya kisera na kiuchumi.

Aidha akizungumza katika mjadala huo amesema kwa deni la China kwa mataifa ya Afrika ni asilimia 12 ya madeni yote ya Kimataifa, ambapo kwa nchini Tanzania katika deni la Taifa asilimia 9 ni la China.

Source: DW
Hakuna ata nchi moja duniani yenye demokrasia kwa asilimia 100!!! HAKUNA!!!
 
Hiki ndicho tumekuwa tukikieleza humu kuwa Usuhuba wa China na Africa ni manufaa kwa Watawala wa Africa na China sio mwananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom