Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Wewe ni Popoma la kwanza.Popoma la mwisho
AsanteWewe ni Popoma la kwanza.
Ndio tunataka wachukue, kuliko kwenda kushiriki kuhalalisha wao kuchukua. Yaani unajua ukienda utalawitiwa, kwani usiache kwenda usije kulawitiwa?Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Hili jamaa libinafsi sana.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
kwani hata usiposusa unafikiri watakuachia jimbo?Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Acha wachukue.Kwani 2020 hukushiriki uchaguzi/Mbona bungeni hukuwemo wala hata mbunge mmoja wa chama chako bara.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Ila ZZK anashangaza sana. Kauli zake ndizo zinasababisha watz wamuone kiwa sio mpinzani wa kweli. Anajifanya ya madhila yanayowapata wapinzani hayamhusu? Dhulma wanayotendewa wapinzani yy haguswi nayo? Mungu anamuona ujuweZZK apambane na CCM.
CDM wao wameamua kutoshiriki uchaguzi hayo ni maamuzi yao hakuna wakuwaingilia, yeye ZZK kama ameamua kushiriki uchaguzi apambane na mpinzani wake kwenye huo uchaguzi CCM na sio CDM aliyeamua kukaa pembeni.
kwaheri Tehrani, uelekeo Basra na Fallujah.
Mbona wasusaji wanaendelea na mambo yao tu?Iweje anayeshiriki ahangaike nao?Anatakiwa awaambie wanaomsikiliza nini ni sera zao,basi.Kwani huo ni mkutano kuhusu kususa?Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Unganeni nao ili mchukue pamoja,ila wengine sisi Tanzania kwanza na chama kinafuata,ila nyie wa sisi chama kwanza Watanzania wasubiri,jijalini nyie kwanza na Chadema itajali Wananchi kwanza kwa kutumia Chama.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Nyumbu.Popoma la mwisho.