GE2025 Zitto: Mkisusia uchaguzi CCM hawajali, wanachukua

GE2025 Zitto: Mkisusia uchaguzi CCM hawajali, wanachukua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uchaguzi gani? Tanzania kuna Uchaguzi? ccm wameshabaka kunajisi Uchaguzi Bandia wa maigizo , ukienda kupiga kura hata wote mkampigia kura Zito mshindi anatangazwa wa ccm, hakuna haja ya kufanya Uchaguzi kupoteza pesa bure, bora ccm wajitangazie Ufalume watawale kwa njia haramu za kishetani
🙋✍️🤝🙏
 
Ndio tunataka wachukue, kuliko kwenda kushiriki kuhalalisha wao kuchukua. Yaani unajua ukienda utalawitiwa, kwani usiache kwenda usije kulawitiwa?
Watanzania wa leo si mbumbumbu ni vigumu kuwashawishi washiriki uchaguzi ilihali wizi wa kura upo na wameushuhudia chaguzi zilizopita. NRNE wanaielewa zaidi kimantiki kuliko hoja za ZITTO.
 
Zito anafurahisha sana. Ina maana hajui kuwa CCM wanashindwa kwa sababu ya sheria kandamizi kwa vyama kama ACT? Mbona anajitoa ufahamu?
Yupo kazini baada ya CHAUMMA kutepeta akatumia fursa kuvuta mzigo
 
Jamaa yule bibi mgazija ana jina la mbweha mbona yupo kimya sana!?
 
Hivi mnajua aliyetoa ushauri zitto kuanzisha chama chake ni nani? Zitto Aliwahi kusema JK ndo alimwambia sajili chama chako
 
Back
Top Bottom