GE2025 Zitto: Mkisusia uchaguzi CCM hawajali, wanachukua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi lini Chadema wasema watasusia uchaguzi? Ila Zitto?
 
Si ndiyo vizuri wachukue? Kwa nini watu waumizwe kwa sababu ya uchaguzi? Bila mabadiliko ya kanuni na sheria nzuri uchaguzi ni butu
 
Ila ZZK anashangaza sana. Kauli zake ndizo zinasababisha watz wamuone kiwa sio mpinzani wa kweli. Anajifanya ya madhila yanayowapata wapinzani hayamhusu? Dhulma wanayotendewa wapinzani yy haguswi nayo? Mungu anamuona ujuwe

Sidhani kama anajua anachopigia.

kwaheri Tehrani, uelekeo Basra na Fallujah.
 
Serikali za mitaa hatukususia nambona wamebeba?
 
Unasusaje uchaguzi ikiwa wewe ni chama cha siasa makini?Shida inaanzia vichwani mwa viongozi wao
 
Ila ZZK anashangaza sana. Kauli zake ndizo zinasababisha watz wamuone kiwa sio mpinzani wa kweli. Anajifanya ya madhila yanayowapata wapinzani hayamhusu? Dhulma wanayotendewa wapinzani yy haguswi nayo? Mungu anamuona ujuwe
Sasa yatamhusu vipinwakati yeye sio sehemu ya wapinzani.
 
Uchaguzi gani? Tanzania kuna Uchaguzi? ccm wameshabaka kunajisi Uchaguzi Bandia wa maigizo , ukienda kupiga kura hata wote mkampigia kura Zito mshindi anatangazwa wa ccm, hakuna haja ya kufanya Uchaguzi kupoteza pesa bure, bora ccm wajitangazie Ufalume watawale kwa njia haramu za kishetani
 
Bora wangefuta uchaguzi mwaka huu kuokoa hizo pesa zikafanye maendeleo kuliko kuwa na uchaguzi wa maigizo
 
Hoja za KITOTO na kitapeli hizo.
 
kwani hata usiposusa unafikiri watakuachia jimbo?

upopoma ni kufanya kitu kile kile na kutegemea matokeo tofauti

I rest my case
Mkuu utabadilisha nini ukienda ukipata kwa mbinde jimbo wewe pekee yako ndani ya bunge lenye asilimia 99.9 ya wabunge wa CCM???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…