GE2025 Zitto: Mkisusia uchaguzi CCM hawajali, wanachukua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
πŸ™‹βœοΈπŸ€πŸ™
 
Ndio tunataka wachukue, kuliko kwenda kushiriki kuhalalisha wao kuchukua. Yaani unajua ukienda utalawitiwa, kwani usiache kwenda usije kulawitiwa?
Watanzania wa leo si mbumbumbu ni vigumu kuwashawishi washiriki uchaguzi ilihali wizi wa kura upo na wameushuhudia chaguzi zilizopita. NRNE wanaielewa zaidi kimantiki kuliko hoja za ZITTO.
 
Zito anafurahisha sana. Ina maana hajui kuwa CCM wanashindwa kwa sababu ya sheria kandamizi kwa vyama kama ACT? Mbona anajitoa ufahamu?
Yupo kazini baada ya CHAUMMA kutepeta akatumia fursa kuvuta mzigo
 
Jamaa yule bibi mgazija ana jina la mbweha mbona yupo kimya sana!?
 
Kwani wakibeba vyote kuna hasara gani? Waachieni CCM uchaguzi wao
 
Hivi mnajua aliyetoa ushauri zitto kuanzisha chama chake ni nani? Zitto Aliwahi kusema JK ndo alimwambia sajili chama chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…