Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
August unaleta siasa.Sasa Zana za Kilimo unadai hiyo kampuni haina ujuzi wowote kuhusu madini, huku tena unasema LZ ni Barrick. Sasa Barrick hana ujuzi wa Madini
Wamegawana majukumu. Wengine kwa Kabudi na wengine kwa Mpango.Naona Zitto kamtaja sana Kabudi kulikoni!!?
Hongera kwa kujazia nyama hii mada. Nashauri pia wengine waidadavue mada ya Zito badala ya kuanza siasa tenaBarrick wasingemuachia mtu huu mgodi. Kwanza wao ndo walifanya Utafiti miaka nenda rudi wakibeba mawe kupeleka Afrika kusini wakidai wanapelekea sample za Utafiti.
Barrick kushirikiana na Geita Gold Mining Limited na ndugu zao Stanley Mining Services wanajua nini kipo pale Rulenge wanapoita Kabanga.
Ukiona Barrick, GGML Stanley sehemu wanapigana Vikumbo, ujue sio bure.
Nahisi Wakina Kabudi walimdanganya Magufuli, asingekubali kufanya nao biashara hivi hivi wakati bado tunawadai kishika Uchumba
Serikali ilipokea Dola Billioni 40(TSH 100 Mil) kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dolla Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali ili kumaliza mgogoro wa madini.
Hadi anapewa Mgodi wa Kabanga Nickel alikuwa hajamaliza hata kulipa kishika Uchumba na Magufuli akafa. Kabudi kakaa kimya kama hajashiriki chochote kwenye makubaliano ya kishika uchumba.
Wangetoa hii hela, rais Samia asingekopa til 1. Hii nchi Mkoloni wetu ni Barrick na anakumbatiwa na Watawala.
Hakika, nafikiri serikali pia ije pupambanua hili ili ijiondoe kwenye lawama. Na kuonyesha kinachoatakiwa na kinachoendeleaAndiko ni zuri, ila hatujui ukweli uko wapi kiuhalisia, kwa sababu ni taarifa ya upande mmoja.
Kungekuwa na taratibu za kupata majibu kutoka upande wa pili, upande wa akina Kabudi ingekuwa ni jambo jema sana, lakini sote tunajuwa hilo hapa kwetu haliwezekani.
Hata hivyo, kuna mambo muhimu kayagusia ndugu Zitto, kwa mfano hiyo asili mia 16 ambayo hutufunika macho wengi wetu.
Lakini inaumiza zaidi, inapofikia mahala mambo kama hili hapa chini kutopewa nafasi na watu ambao ni zao la moja kwa moja la juhudi za waasisi wa nchi hii. Hawa akina Kabudi, ndio walikuwa wakisemwa kwamba ni vijana wanaotumwa kwenda kuhemea ili kuiondoa nchi yao kwenye jamga la njaa.
Hawa ndio waliopewa vibaba vya mwisho ghalani ili waje wakalijenge taifa lao!
Ona sasa jambo kama hili hapa chini ambalo ni vigumu kutoamini yaliyoandikwa hapa.
Mimi nadhani inalazimu tujaribu utaratibu walionao nchi kama China. Watu wanaokosa uzalendo kama hawa wasipewe nafasi ya kuchezea maisha ya waTanzania.
Huyu ni bingwa wa siasa za kugawa watu na kupenya. anajua huyu ni wa 5 na wa 6 ana nafasi sasa ya kuweka wake.Naona Zitto kamtaja sana Ka abudi kulikoni!!?
Bila shaka Ni typing error [emoji116]Barrick wasingemuachia mtu huu mgodi. Kwanza wao ndo walifanya Utafiti miaka nenda rudi wakibeba mawe kupeleka Afrika kusini wakidai wanapelekea sample za Utafiti.
Barrick kushirikiana na Geita Gold Mining Limited na ndugu zao Stanley Mining Services wanajua nini kipo pale Rulenge wanapoita Kabanga.
Ukiona Barrick, GGML Stanley sehemu wanapigana Vikumbo, ujue sio bure.
Nahisi Wakina Kabudi walimdanganya Magufuli, asingekubali kufanya nao biashara hivi hivi wakati bado tunawadai kishika Uchumba
Serikali ilipokea Dola Billioni 40(TSH 100 Mil) kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dolla Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali ili kumaliza mgogoro wa madini.
Hadi anapewa Mgodi wa Kabanga Nickel alikuwa hajamaliza hata kulipa kishika Uchumba na Magufuli akafa. Kabudi kakaa kimya kama hajashiriki chochote kwenye makubaliano ya kishika uchumba.
Wangetoa hii hela, rais Samia asingekopa til 1. Hii nchi Mkoloni wetu ni Barrick na anakumbatiwa na Watawala.
Au labda taratibu, sheria, Kanuni na miongozo inakata kuanza upya? Yaani daily kwenye kila issue utasikia tumepigwa. Hata ahadi ya kishika uchumba huenda ilikuwa bosheni tukama wazungu wametuzidi maarifa Kwenye mkataba kwa mara nyingine tuanze upya mechi
Kuna shida gani kama Barrick anamiliki iyo Kampuni?August unaleta siasa.
A company is an individual entity, Nikimiliki kampuni mbili X, na Y kila moja inajitegemea japo zote zangu
Ni mchezo uleule tu wa Barrick kuwa na share kwenye ACACIA lakini this time it seems wanaiown hiyo kampuni 100%
Niliwai sema ufisadi Tanzania ni nadharia zinazotengenezwa na wanasiasa kwa maslahi ya kisiasa! Hakuna jipyaWanasiasa bana! Yaani wao ulaji wao ni katika kutafutiza kasoro, makosa, ufisadi, popote pale kwa namba yoyote ile. Ali mradi wamejaliwa talanta ya kuongea tu!
No! Tushawachoka nyie career politicians. Nyie akina Zitto njooni kitaa na nyie muanze kuzitafuta hela kwa jasho na damu, na nyie wekezeni kwenye miradi mtengeneze ajira kama wanaume wanavyofanya, fanya hivyo kwa miaka mitano tu nje ya ya siasa zenu za kuviziana halafu baada ya hapo rudi kwenye siasa tena.
Yaani mijitu miaka nenda rudi ni kutafutizana ufisadi kwenye madini, kwenye ununuzi wa ndege, kwenye kila kitu yaani. Watu wanafanya vitu nyie ni kutafutiza makosa tu. Mnaboa yaani tu.
Nirudie tena iwekwe sheria kwamba mwanasiasa yeyote awe na kazi nyingine halali nje ya siasa.