Zitto: Mradi wa Kabanga Nickel ni Mradi wa Barrick uliofichwa kupitia kampuni ya LZ Nickel ya Uingereza

Bwana dalali una point sana, ila wew pia ni sehem ya tatizo, kwan mwarobain wa hayo yote ulotaja na mengine mengi ni KATIBA MPYA. Shids inapoanzia kupata katiba wew pia ni mmoja wa wanaokwamisha.
 
Lkn wewe zito!! acha siasa mbofu mbofu bana! unahangaisha akili zetu bure tu!! hapo unajilenga wazi wewe zito uingie vipi ki ushiriki ktk hayo majadiliano.

kwani inaonekana mpaka sasa umewekwa pembeni....... wizara ya madini/tume ya Madini hakuna tofauti na timu ya majadiliano serikali! vyote ni vyombo vya serikali!

wakitaka hawa watakuja huko na hawa wataenda kule hakuna wa kuwazuia hao hao watajipanga watakavyo ambayo hii imekuweka weye pembeni! hapa zito unacho fanya ni propaganda za u-mimi!! u-mimi tu!!

Labda mvunje yote hayo mni weke mimi na team yangu!.........kwa nini hayo Madini msiyavune nyie kama watanzania wasomi bana? mmesoma nini sasa?? km vipi tuje sisi.... ...mji organise mfanye nyie km nyie! weye zito uwe kiongozi!

kama makampuni ya nje yakija kuwachimbia msicho kijua lazima wawalalie tu hata kma ninge kuwa mie, ningewazima mbaya mpaka myambe.....hii ni sawa kabisa na ....

eti Kidume kabisaa ukiite kwako kukuogeshea mkeo kijana yule mweupe peee!! ambaye ni mzima kabisaaa wa afya na kiwowo cha kishikaji eti amsugue papuchi yooote! na kijamaa kisimlambe hata kidogo?? .....

na weye unafurahia tu km bwege mtozeni!! inawezekana kweli?? unakazia kabisa umemsugua vizuri lkn?? mbona shingoni kuna uchafuu bado??? Hiyo wana JF inawezekana??

Mkeo muogeshe mwenyewe!! hao wengine wamuone tu!! sasa nyie wabongo Mke wenu anaogeshwa na wazungu halafu mnashikana mashati bin uchawi wenyewe!!...... mke wenu anawacheck tu! kesha liwa!
 
Hiyo ndo style yake ya maisha, maisha ya kitapeli. Kiboko yake alikua JPM. Alipauka hatari.
Jiwe alimshindwa!!! hivi ujue jamaa wame mwinda sana kumuua lkn wameshindwa ajili ya uchawi wa kigoma! !na Babu yake zito kalikuwa kachawi kale kazee ni hatare!

Zito analala na hirizi saba! nani atamuweza yule halafu ukimwambia ukweli anachaeeeka kwa dharaum sana!
 
Haya zito,, Tangia mama ameingia mbona hajabadilisha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…