Kama hata wewe ulikuwa mjumbe huko, nasisitiza harufu mbaya ya kinye......Mimi nilikuwa mjumbe wa Tume ya Waryoba, huo ndiyo ulikuwa msimamo wa Mwenyekiti wetu, lakini kutokana na pressure ya watu waliotumwa kwa malengo yao binafsi wakamzidi ujanja.
Mnafki tu nae anakula ccm alfu anajifanya kuiponda
Pengo anataka kusimaia Ukatoliki Zanzibar, anajua kuliwa na serikali tatu Zanzibar itapiga marufuku Kutenai Ukatoliki , so anatetea mbili kwani zina maslahi kwa dini yake.........Hata viongozi wa dini wanaitaka serikali mbili na huo ndiyo msimamo wao, CHADEMA hawawezi kuwa msimamo kwa sababu ni SACCOSS
Kwani ZZK ameingia kwenye bunge la katiba kupitia kundi gani?
ccm ni makafiri
Mimi labda uelewa wangu uwa ni mdogo,nijuavyo CCM ndio chama tawala,kwa mujibu wa wao CCM ndio chama kinachowakilisha watanzania wengi,kwa mujibu wa maoni ya TUME YA WARIOBA Watanzania walio wengi wamependekeza mfumo wa serikali tatu.kama CCM ni chama kinachowakilisha Watanzania wengi basi impliedly CCM wanapendekeza muundo wa serikali tatu,sijui kama naelewekaZitto sioni anachokisema hapo. Ccm nitaasisi na ndio maana ina msimamo wake kama taasisi kwani mbona wasomi wa vyuo na wao wanamisimamo yao kuhusu serekali ngapi wana itaji. Hata zitto mwenyewe akilini mwake anamsimamo wake serikali ngapi anahitaji.ata chadema waliwahi kusema wanahitaji serikali tatu ndio wataotetea..
Ccm ni wa wazi ndio maana wametoa msimamo wao
Mbona unapenda kujitoa ufahamu wewe,Unaposema mfumo wa serikali 3 upo CHADEMA sidhani kama unatumia akili yako sawasawa kufikiri, Hii Rasimu iliyowasilishwa na TUME imependekeza Muundo wa Serikali Tatu na haya yote ni maoni ya wananchi ambao ni 64% ya waliotoa maoni yao mbele ya TUME hapo CHADEMA inaingiaje. kwa nini ukuitaja CUF, NCCR na vyama vingine wewe ni CHADEMA tu na usipoangalia utaolewa mwaka huu.kwa hiyo wenye msimamo wa serikali gani wanataka wanazuia mjadala? CHADEMA nao wana msimamo wa serikali tatu, nao wanazuia mjadala?
hata mimi nataka serikali moja tu inatosha.Mimi msimamo wangu ni serikali moja, serikali tatu naona haina tija, ni mzigo tu.
Wazalendo, ili akawapige wahafidhina.
Zitto ana misimamo miwili tu: No posho na apewe uenyekiti CDM, basi. Hizi nyingine zote ni porojo.
kwa hiyo wenye msimamo wa serikali gani wanataka wanazuia mjadala? CHADEMA nao wana msimamo wa serikali tatu, nao wanazuia mjadala?
Kwani ZZK ameingia kwenye bunge la katiba kupitia kundi gani?
Mbona unapenda kujitoa ufahamu wewe,Unaposema mfumo wa serikali 3 upo CHADEMA sidhani kama unatumia akili yako sawasawa kufikiri, Hii Rasimu iliyowasilishwa na TUME imependekeza Muundo wa Serikali Tatu na haya yote ni maoni ya wananchi ambao ni 64% ya waliotoa maoni yao mbele ya TUME hapo CHADEMA inaingiaje. kwa nini ukuitaja CUF, NCCR na vyama vingine wewe ni CHADEMA tu na usipoangalia utaolewa mwaka huu.