Zitto - Msimamo wake kuhusu katiba mpya

Zitto mwakilishi wa mahakama kwenye katiba mpya hahahahahhaaa
Nadhani ZITTO alikuwa anawapiga kiaina Wahafidhina na msimamo wao wa serikali tatu, mwenywe anajua serikali tatu hazina maslahi kwa taifa.
 

Inshallah Disunyale. Mola mkubwa
 

.
Ni kweli kabisa kuna ka bana mdogo kanaitwa nape kamepewa usemaji wa ccm na kujivika mamlaka ya m/kiti wa chama hicho. Ana mawazo yake binafsi ya serikali mbili na kwa hivyo ni haki yake na yanapaswa kuheshimiwa la katu katu watanzania tusikubali mawazo ya huyu ba mdogo kuwa ndio msimamo na absolute ya chama. Kajamaa haka ndiko kalikomshawiishi m/kiti na kumburuza katika wazo lake ili kuufanya kuwa ni msimamo wa chama.
Hivi tuwaulize ccm ni lini itafika waheshimu mauni ya wengi yaiopatikana kidemokrasia ya wengi wape? Wananchi tunauliza, kuna mungu mtu yupi ndani ya ccm anaetaka kujifanya kuwa yeye ndio katiba ya nchi? Jioneeni aibu enyi vizee vya ccm vyenye shingo ngumu na chonde chonde tunawaomba muyaheshimu mawazo ya wananchi wenu. Na kama hamtaki kuheshimu maoni ya wengi basi raia tutatumia njia mbadala kuwalazimisha kwa shurti kufanya hivyo.
.
 
kwa hiyo wenye msimamo wa serikali gani wanataka wanazuia mjadala? CHADEMA nao wana msimamo wa serikali tatu, nao wanazuia mjadala?

serikali tatu tangu enzi za g55,au mimba yako changa imekosa ukwaju leo.
 
Kwenye point tujibu kwa point tusibishe tu kila kitu hata ambayo inamanufaa kwa wananchi/Taifa kwasababu kasema Zitto au Slaa. Hapa nakupa tano Zitto tuko pmj vyama baadae
 

nashangaa sana nape amekuwa kama ndo rais sasa..
 
Zitto ndio nani? badala ya kuabudu taasisi, kanuni na katiba yake mpo bize mnaabudu mtu fulani....
 
kwa hiyo wenye msimamo wa serikali gani wanataka wanazuia mjadala? CHADEMA nao wana msimamo wa serikali tatu, nao wanazuia mjadala?

Chadema wamekubaliana na wananchi. Wamebariki maoni ya wananchi. CCM Wana hoja gani kuhusu serikali mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…