Zitto - Msimamo wake kuhusu katiba mpya

Mimi nilikuwa mjumbe wa Tume ya Waryoba, huo ndiyo ulikuwa msimamo wa Mwenyekiti wetu, lakini kutokana na pressure ya watu waliotumwa kwa malengo yao binafsi wakamzidi ujanja.

Kwaiyo haukubali kuwa issue ya serikali tatu ni matakwa ya Watz waliowengi?
Embu andikia mikono, miguu umepewa utembelee!
 

Kwaiyo huo msimamo wa CCM si unapingana na wananchi walio wengi?
Just fikiria kiundani Maccm walivyojazana mle bungeni! Wewe unahisi nini kitatokea?
 
Hata viongozi wa dini wanaitaka serikali mbili na huo ndiyo msimamo wao, CHADEMA hawawezi kuwa msimamo kwa sababu ni SACCOSS

Kiongozi wa dini gani aliesema hivyo!
Mimamluki ya ccm inayojitia udini inajidanganya bure!
 
Huyo Zitto KAFULIA KWELIKWELI. Hivi na kusoma kote madegree anaongea uozo huu....😕
Kasema CCM wameweka msimamo wa serikali 2. Mbona hajasema CHADEMA WAMEWEKA MSIMAMO WA SERIKALI 3:what::what::what:
AACHE UNAFIKI

Bhana serikali 3 ni chaguo la wananchi! Kiufupi Zitto anaungana na wananchi waliowengi!
...
Hoja yako ya kiccm imekaa miguu juu!
 
nawashangaa wanaopinga serikali tatu hawana facts wala takwimu

Hata mimi nashangaa!
Na kwa mtizamo wangu finyu nahisi fujo halitoacha kutokea kuanzia bungeni hadi uraini!
...
CCM watu wa ajabu sana! Walivyojazana mle bungeni hadi noma!
Uzuri unakuja baadae ni lazima kura za wananchi ziamue, ikiwa wananchi wamekataa serikali mbili zilizopitishwa bungeni, rasimu inarudi tena bungeni na kurekebishwa, na ikiwa wameirekebisha baadhi ya mambo na kuacha serikali mbili, naamini wananchi wataipinga tena!
Sasa hapo ndio kuna uozo! Eti ikipingwa mara ya pili na wananchi tunarudia kutumia katiba ya sasa (ya 1977) kama ilivyo! Hii kitu ndio itapelekea watu kuuana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…