Zitto Mungu akubariki tuko nawe kwa sala-TEC


mchungaji anayeogopa kusema ukweli hadharani, hafai kuusema mafichoni.
 
Mungu ambariki Zitto na amuepushe na balaa la michezo michafu ya CCM!
Mungu amsaidie ili ripoti ya kamati ya madini itakapotoka...Tuendelee kuwa naye upande wa wazalendo!
Amen.
 
Siajelewa, eti hii ni nini? Nimesoma machapisho yote sielewi
 
Na pia Mungu aendelee kumlinda..Kwani kama bado yupo upande wa Wazalendo...Then sichelei kusema kuwa maisha yake yako hatarini!
 
Hawa hawa ambao Waziri Mkuu alipokuwa anafungua Kliniki kule Mwanza aliwaambia kuwa kwa wao kuleta huduma za jamii "wanasaidia kutekeleza Ilani ya CCM" na wakakaa na kupiga makofi..?

Hii inaonyesha hakuna pakujificha sasa, tumebana kila kona
 
Mnakumbuka Jinsi Ambavyo Kulikuwa Na Mgogoro Huko Makete Ambapo Wananchi Walituhumi Kanisa, Dayosisi Ya Kusini Kati, Kkkt, Kulamba Zaidi Ya Mil 270 Na Askofu Alihusika Mpka Kulazimu Wanajamii Wa Huko Kuitisha Maandamano Ya Amani Kumlazimisha Skofu Huyo Ajiuzuru. Askofu Aling'olewa Kwa Kura Ya Hapana Na Mapaka Sasa Dayosisi Hiyo Haina Askofu Mpaka 2010. Sio Wote Wasemao Bwana Bwana Watauona Ufalme Wa Mbingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…