Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hili wengi wenu hamlioni, na huenda linawapita kama Kivuli .
Ushawishi wa Kidini alonalo Sheikh Ponda, SI wa kupuuza.
Ushawishi wa Kisiasa alonalo Zito Kabwe nao pia SI wakupuuza hasa katika maeneo yaliyo na Idadi kubwa ya Uislam.
Ukisikiliza Speech za Sheikh Ponda tangu ajiunge na ACT , ukisikiliza pia na Speech za Zito Ni watu wanaotumia Maandiko ya Qur'an ku diverge Jamii ya Kiislam kutoka kwenye Tafasiri za Halisi za Maandiko na kuingia kwenye Tafasiri Mbaya .
Kwa mfano ..... Kuna Hotuba Moja Zitto ananukuu Maneno ya Qur'an Kisha anasema "Mtume anasema ,ni lazima tukubali Kufa kidogo katika kupigania haki'
Anapigiwa makofi !!.
Anaendelea kuwahimiza, Ni lazima wachache tufe kwanza ,lazima tufe !!!.
Mafundisho haya ,hayatoi Kwa bahati mbaya, anajua ni kweli wananchi Wana Ile feeling ya Social injustice , Manyanyaso ya Kisiasa, hivo anawajibika tu kuchochea jamiii kupitia Itikadi Kali za Kidini huku akijichora kua yeye kama kiongozi wao wataidhibiti CCM.
Kwanini Zitto Kabwe haelezi namna gan atakavyolinda Kura ?. Yeye kaamua kwenda Uchaguzin, àkiaminu atawachochea Wananchi kufanya Fujo na kuhakikisha wanamtangaza hata kama Wananchi watauwawa ,ndio sababu Zitto anawaanda Wafuasi wake taratibu taratibu na kuwafanya waamini ni lazima Wafe Kwa kupigania Kiongozi wao
Sisi CHADEMA hatutaki Mauaji, baada ya watu wetu kuuliwa, Tumekataa kuendelea kuona watu wanauliwa, hivo kiroho safi tumesema, BILA MABADILIKO, HATUTASHIRIKI UCHAGUZI !!.
TAIFA LIWE MAKINI NA ZITTO NA ACT YAKE, ISLAMIC RADICALIZATION IDHIBITIWE MARA MOJA.!!.