Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA wapo Serious na Mambo yenye TIJA kwa Taifa hao wengine Mfadhili kawapa FUNGU wavuruge Upinzani wa KweliSioni popote ACT walipoinanga Chadema, wewe ndio umejaa umbea.
Chadema hawajawahi kuwa serious na hii issue, kama wangeamua, naamini wana uwezo wa kujenga makao makuu zaidi ya pale Lumumba.
CHADEMA wapo Serious na Mambo yenye TIJA kwa Taifa hao wengine Mfadhili kawapa FUNGU wavuruge Upinzani wa Kweli
Acheni ujingaa miaka 61 CCM tuonyeshe CCM imefanya nini??kutwa mnahangaika na chadema .unanunua v8 NCHI haina Maji huu ujingaa upo CCM TU.Sawa lkn Chadema pia mlishawahi kupewa fungu na Sabodo zilienda wapi? Na alisema anatoa kwa ajili ya ofisi, ndo tunaanza kuwapima mkipewa dola nyie mtaheshimu budget kweli kama ile kidogo mlishindwa? Mambo yenye TIJA yepi nyie ambayo mpo nayo serious? Kuomba kufanya mikutano ndo mambo serious?
Onyesha ushahidi wa huyo Mhindi kuwapa Hela CDM.Sawa lkn Chadema pia mlishawahi kupewa fungu na Sabodo zilienda wapi? Na alisema anatoa kwa ajili ya ofisi, ndo tunaanza kuwapima mkipewa dola nyie mtaheshimu budget kweli kama ile kidogo mlishindwa? Mambo yenye TIJA yepi nyie ambayo mpo nayo serious? Kuomba kufanya mikutano ndo mambo serious?
Sabodo aliwapa Chadema million 100 unconditional, huwezi Kujenga jengo la ofisini ya kisasa kwa million 100.Sawa lkn Chadema pia mlishawahi kupewa fungu na Sabodo zilienda wapi? Na alisema anatoa kwa ajili ya ofisi, ndo tunaanza kuwapima mkipewa dola nyie mtaheshimu budget kweli kama ile kidogo mlishindwa? Mambo yenye TIJA yepi nyie ambayo mpo nayo serious? Kuomba kufanya mikutano ndo mambo serious?
Jafar Sabodo aliwapa Chadema msaada wa million 100 ili kuboost harakati zao.Onyesha ushahidi wa huyo Mhindi kuwapa Hela CDM.
Afu usisahau CDM wamejenga ofisi takriban kila mkoa na wilaya kwa nguvu za wanachama.
Hili jengo liko wapi? Au ni 3D image tu?
Jamaa basi utakuwa mgeni kwenye Siasa, Ebu google huko Mbowe akipokea hundi kutoka kwa Sabodo kama hautomuona,unataka ushahidi gani hapo? Halafu labda kama hujui aliwapa na kiwanja akawaona wanazingua akakichukua mwenyewe. Ogopa Mungu na Teknolojia ndugu...Onyesha ushahidi wa huyo Mhindi kuwapa Hela CDM.
Afu usisahau CDM wamejenga ofisi takriban kila mkoa na wilaya kwa nguvu za wanachama.
Miaka 30, Chadema ofisi ya makao makuu yake inafanana na vile vijumba vya wanawake wanaojiuza buguruni. Aibu!