Zitto ukimwambia pigana nakupa hela anapigana.
Hata akiambiwa avue nguo hadharani anaweza yule kwenye pesa hapindui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto ukimwambia pigana nakupa hela anapigana.
Jamaa rangi yake halisi haijifichiTatizo zito hana msimamo..
Rais akiwa mgalatia atapiga kelele nyingi sana!!
Lakini akiwa wa upande wa bakonzi ni kusifu na kupongeza!!!
Kumbuka kipindi cha
KIKWETE.
MAGUFULI.
na sasa SAMIA!!
Zito aache Usaliti kama Kweli Anachukia Kuitwa Msaliti! Vinginevyo tutaendelea kumuita Msaliti.Huyu mchizi hana tofauti na Bashite
Zito aache Usaliti kama Kweli Anachukia Kuitwa Msaliti! La sivyo tutaendelea kumuita Msaliti.Huyu mchizi hana tofauti na Bashite
Zitto kavuma kipindi Cha utawala wa Nani!?..na kashuhudia Marais wangapi wagalatia akiwa mwanasiasa wa upinzani!?Tatizo zito hana msimamo..
Rais akiwa mgalatia atapiga kelele nyingi sana!!
Lakini akiwa wa upande wa bakonzi ni kusifu na kupongeza!!!
Kumbuka kipindi cha
KIKWETE.
MAGUFULI.
na sasa SAMIA!!
Hata wakupakaze vipi,zitto utaibuka mshindiKiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi kusaliti demokrasia na mageuzi ambayo yeye ameyapigania tangu akiwa na umri wa utoto.
“Mimi ni miongoni mwa watu tuliopachikwa jina la usaliti, kama binadamu, siwezi kujisikia vizuri kuitwa msaliti wa mageuzi na demokrasia kwa sababu tu nasimamia kile ninachokiamini ambacho wenzangu hawakubaliani nacho.”
Zitto anasema tuhuma hizo msingi wake ni watu kushindwa kukubali ukweli kila mtu ana mtazamo na msimamo juu ya jambo fulani.
“Hata hivi sasa ninapotofautiana na vyama vingine vya upinzani kuhusu nini kitangulie kati ya Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi bado ninaonekana ni msaliti, jambo ambalo si sahihi hata kidogo,” anasema.
“Pengine tatizo langu linalosababisha kupachikwa majina mabaya, ikiwemo la usaliti ni kufikiri tofauti na wenzangu kuhusu namna bora ya kufikia mafanikio kwenye jambo tunalolipigania. Lakini kinachonipa faraja ni kwamba mwisho wa siku tunajikuta tutakuwa na msimamo wa pamoja katika kilekile kilichosababisha niitwe msaliti,” anasema Zitto.
View attachment 2221541
ha ha ha ha unahuruma pua tu ndo ibaki apate haki ya kuishi.Tena pale jangwani ili maji yakijaa kinabakia kichwa tu
Kama siyo msaliti mbona yupo kwenye task force ya kukusanya maoni ya katiba mpya wakati anajua na alishiriki kutunga rasimu ya katiba maarufu kama Katiba ya Warioba, kijana Zitto ni mroho na mwenye tamaa ya pesa na madarakaKiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi kusaliti demokrasia na mageuzi ambayo yeye ameyapigania tangu akiwa na umri wa utoto.