Zitto: Nakerwa kuitwa msaliti wa mageuzi

Tatizo zito hana msimamo..

Rais akiwa mgalatia atapiga kelele nyingi sana!!
Lakini akiwa wa upande wa bakonzi ni kusifu na kupongeza!!!

Kumbuka kipindi cha

KIKWETE.

MAGUFULI.

na sasa SAMIA!!
Jamaa rangi yake halisi haijifichi
 
Anaitumia ile kauli ya Mbowe jana kujikweza, naona anatembea na biti ili kutafuta popularity.
 
Tatizo zito hana msimamo..

Rais akiwa mgalatia atapiga kelele nyingi sana!!
Lakini akiwa wa upande wa bakonzi ni kusifu na kupongeza!!!

Kumbuka kipindi cha

KIKWETE.

MAGUFULI.

na sasa SAMIA!!
Zitto kavuma kipindi Cha utawala wa Nani!?..na kashuhudia Marais wangapi wagalatia akiwa mwanasiasa wa upinzani!?
 
Zito anataka watu wawe waongo?

Kama ni msaliti, anataka watu wamwite nani?
 
Zitto usijali;
Tabia ni kama ngozi inaandamana na mtu milele.
Matendo na kauli ni vitu viwili tofauti, kauli siku zote kama haziendani na matendo shida huanzia hapo!
Na kumbuka pia kuwa; uongo hutumia lift kwenda juu bali ukweli hutumia ngazi, japo ukweli hufika juu kwa kuchelewa hutamalaki!
Naamini umenielewa Mkuu.
 
Kama ni mwanamke ungeitwa Delila ,ila mwanaume sijui tukuitaje
 
Hata wakupakaze vipi,zitto utaibuka mshindi
 
Kama siyo msaliti mbona yupo kwenye task force ya kukusanya maoni ya katiba mpya wakati anajua na alishiriki kutunga rasimu ya katiba maarufu kama Katiba ya Warioba, kijana Zitto ni mroho na mwenye tamaa ya pesa na madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…