Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Wacha kujishaua, wewe ndio uliokuwa umeanzisha hii taharuki kukimbilia hapa kuomba msamaha hakukuondolei ujuha uliokubuhu kichwani mwako.

Na sheria ichukue mkondo wake kwa upotoshaji ulioufanya wacha kulia kama nyau. You should just shut up!
 
Zitto wewe ni mnafiki wa kiwango cha barabara ya zege! Twitter yako haikuwa na maana njema. Kama kiongozi unatakiwa kuwa makini badala ya kukurupuka. Ni hayo tu
 
Yuda bana
 
Dua,

Zitto ni mnafiki wa kweli! Baada ya kuona yeye na kundi lake wameumbuka mchana wa saa saba ndio anakimbilia hapa kuja kusema upupu.

Zitto wewe ni kiongozi na kuna watu wanakuheshimu sasa usijivunjie kaheshima hako kadogo ambako kamebaki
 
Kwa maoni yangu Watanzania wengi tunapenda kushabikia taarifa tusizokuwa na uhakika nazo, na imekuwa njia kubwa inayotumika kututoa kwenye mijadala mingine ya maana.

Katikati ya sintofahamu hiyo kulitokea kuibiwa kompyuta kwenye ofisi ya DPP, ila hiyo ishu imefunikwa na sisi kushabikia uzushi, na pia Serikali imekaa kimya ili kutusahaulisha ishu hiyo.
 
We zitto mpumbavu sana tena ni zaidi ya mpumbavu.
 
Kwenda zako huko vuvuzela wewe!
 
Kama wewe ndo Zitto mwenyewe natamani ushughulikiwe kabla wiki haijaisha na ufe wakutupe mto ruiche
 
Zitto we mnafiki tu. Wewe ndio ulikuwa chanzo cha kueneza huo uvumi, sasa hivi unajinafikisha na kujifanya unaomba radhi kwa kueneza uongo.

Wewe kama kiongozi wa chama ulipaswa kufuatilia kwanza kabla hata ya kupost, siyo kupost kwanza na kufuatilia baadae!

Huko ni kukosa hekima, ya kimaisha na hata ya kiuongozi pia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…