Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mkuu naona unaongea na mtoto wa mchawi...achana nae.Wengi wangapi? Huku kwetu makanisa karibu yote waumini walikua wanamuombea kwa kulia machozi videos nnazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona unaongea na mtoto wa mchawi...achana nae.Wengi wangapi? Huku kwetu makanisa karibu yote waumini walikua wanamuombea kwa kulia machozi videos nnazo
Upinzani ulikuwa enzi za Mzee Mtei na Marehemu Makani huu wa sasa umejaa utoto na ujinga.Nilikuwa nauamini sana upinzani na kuupenda kutoka ndani ya moyo wangu.Ila kwa ujinga wanaoufanya wamenifanya nianze kujiuliza kama wana fit kuchukua taasisi kubwa kama urais...
Juzi si ulikuwa unafurahia wewe?. Afu sasa hivi unasema umefuatilia. Leo unakuja na sympathy hapa kuna watu wanaudhi sana.
Kwa mtu kama wewe I expected unyamaze kimyaaa
sio kweli mimi nimeshawahi.fuatilia.sijawah kusikia wakala yoyote.akilalamikia.unalosema.. msitunge.mambo jomba..ni hatari..hapo uchelewi kusema wamenunuliwaHao mawakala ndio wale wakurugenzi hukwepa kuwaapisha. Kwa macho yangu nilishuhudia kituo kimoja wakati wa uchaguzi wa marudio mawakala wa cdm wakipewa kipigo kikali na jeshi la polisi, ili kujaza fomu fake ya matokeo kuwa mgombea wa ccm ameshinda, na huo ndio utaratibu uliotumika nchi nzima. Kama ulikuwa hujui ama unajifanya hujui huo upuuzi, basi habari ndio hiyo.
sio kweli mimi nimeshawahi.fuatilia.sijawah kusikia wakala yoyote.akilalamikia.unalosema.. msitunge.mambo jomba..ni hatari..hapo uchelewi kusema wamenunuliwa
We zitto mpumbavu sana tena ni zaidi ya mpumbavu.