tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Katika kuzisaka kura za Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, leo septemba 17, 2025 kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametembela nyumba moja baada ya nyingine kuomba wananchi kura hizo katika Kata ya Kagera.
Soma pia: Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini
Chanzo: Jambo Tv
Soma pia: Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini