GE2025 Zitto: Sasa kuna Uchaguzi, chaguo ni CCM iliyoshindwa kwa Miaka 60 au ACT ya mabadiliko

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe

"Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu, huduma duni za Afya na watu 14M kudumbukia kwenye umasikini katika miaka 5 iliyopita ama ACTwazalendo yenye dhima ya kujenga TAIFA LA WOTE kwa MASLAHI YA WOTE.

Rais Luhaga Joelson Mpina atakomesha ufisadi, atalinda haki za watu na atajenga Uchumi unaohudumia wengi badala ya wachache. Kazi ya MABADILIKO YA UHAKIKA imeanza!"

1757756161177.png
 
Ukiona watu wenye akili timamu wamekubaliana jambo la kipumbavu ujue lina manufaa kwao
 
Tatizo Zitto haaminiki hata kidogo ndio legacy aliyojijengea miaka mingi sana
Anavuna alichokipanda
 
Huu uchaguzi ni kama comedy star search. Kuna yule Mwaijojole anataka kuwalipa mabarmaids na wafanyakazi wa ndani!!!
 
Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe

"Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu, huduma duni za Afya na watu 14M kudumbukia kwenye umasikini katika miaka 5 iliyopita ama ACTwazalendo yenye dhima ya kujenga TAIFA LA WOTE kwa MASLAHI YA WOTE.

Rais Luhaga Joelson Mpina atakomesha ufisadi, atalinda haki za watu na atajenga Uchumi unaohudumia wengi badala ya wachache. Kazi ya MABADILIKO YA UHAKIKA imeanza!"

Naogopa ku comment.

Wacha tu niendelee kula mihogo yangu kwa amani.
 
@Zito wewe ni msomi na mtu mwenye akili timamu.
Hivi kwa akili yako unadhani kampeni ya CCM mwaka huu inaumuhimu wowote?
Hivi from the bottom of your heart unaamini Mpina anaweza kushinda urais kwa katiba ya sasa?
Hivi unaamini wewe unaweza kushinda ubunge kule kwenu?
Hivi unaamini unaweza kulinda kura zako? Labda kama una jeshi lako la polisi. Hii sio zama za kikwete aliye kua angalau yuko fair?
Zito akishinda ubunge mnitag
 
Zitto ni tapeli na mda wake uko mwisho akiendelea na siasa za kitapeli ni suala la Mda tu
 
Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe

"Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi.

​
Kururhusiwa kwa Mpina ni mkakati CCM wa kujaribu kuamsha shamrashamra feki za uchaguzi. Samia ni kama yupo kwenye ziara za mikoa.
 
Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe

"Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu, huduma duni za Afya na watu 14M kudumbukia kwenye umasikini katika miaka 5 iliyopita ama ACTwazalendo yenye dhima ya kujenga TAIFA LA WOTE kwa MASLAHI YA WOTE.

Rais Luhaga Joelson Mpina atakomesha ufisadi, atalinda haki za watu na atajenga Uchumi unaohudumia wengi badala ya wachache. Kazi ya MABADILIKO YA UHAKIKA imeanza!"

Insanity.
 
Hiyo hoja ya CCM kushindwa kwa miaka 60, vichwa panzi wanaipenda sana maana ni kila mwaka inarudiwa kama Land allianation.
 
Namwonea huruma Mpina. Yaani inaondoka CCM unaenda kwa chama wakala wa CCM. Mpina awe makini sana, akisema lolote baya dhidi ya mama mfadhili wa ACT, watamtafutia njia ya kumnymazisha

Lakini ni jambo dhahiri kuwa ni punguani pekee anaamini kutakuwa na uchaguzi mwaka huu! Huu uchfu huwezi kuuita ni uchaguzi.
 
Back
Top Bottom