Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwanini zitto hakugombea urais, ye hautaki?
Ukiona watu wenye akili timamu wamekubaliana jambo la kipumbavu ujue lina manufaa kwaoAmeandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe
"Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu, huduma duni za Afya na watu 14M kudumbukia kwenye umasikini katika miaka 5 iliyopita ama ACTwazalendo yenye dhima ya kujenga TAIFA LA WOTE kwa MASLAHI YA WOTE.
Rais Luhaga Joelson Mpina atakomesha ufisadi, atalinda haki za watu na atajenga Uchumi unaohudumia wengi badala ya wachache. Kazi ya MABADILIKO YA UHAKIKA imeanza!"
Naogopa ku comment.Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe
"Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu, huduma duni za Afya na watu 14M kudumbukia kwenye umasikini katika miaka 5 iliyopita ama ACTwazalendo yenye dhima ya kujenga TAIFA LA WOTE kwa MASLAHI YA WOTE.
Rais Luhaga Joelson Mpina atakomesha ufisadi, atalinda haki za watu na atajenga Uchumi unaohudumia wengi badala ya wachache. Kazi ya MABADILIKO YA UHAKIKA imeanza!"
Huu Mwaka hadi Wananchi jana wameikataa hizi maigizo za bongoTatizo Zitto haaminiki hata kidogo ndio legacy aliyojijengea miaka mingi sana
Anavuna alichokipanda
Kururhusiwa kwa Mpina ni mkakati CCM wa kujaribu kuamsha shamrashamra feki za uchaguzi. Samia ni kama yupo kwenye ziara za mikoa.Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe
"Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi.
Insanity.Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe