Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Sizitaki mbichi hizi......teh teh.....
 
Mwenzako ameitwa Ikulu ndogo kuulamba uwaziri, wewe endelea kusema anafanya utani utani
 

Zitto ni kichwa sana. Tayari amepona kwenye mtego uliokuwa umetegwa kummaliza.

Mengi yanaenda kutokea. Endelea kutega masikio.
 
Zitto akitaka asalimike, ataje,ayaweke majina hadharani. Na kama chadema itaendelea kumfuga basi tutathibitisha kuwa ni chama cha kilaghai.
Jamani urafiki wako na Zitto umekatika ghafla hivi! Kweli kabla mwaka huu haujaisha tutasikia na kuona maajabu mengi!
 
Nyinyi mnafikiri nguvu ya mafisadi mchezo!-Usipoenda polepole na kwa umakini Mkubwa wanakutoa roho!.
Nampa Big up sana Zitto Kabwe, Furaha ya Askari Makini ni Kushinda vita na Ukabaki hai!. TUMUUNGE MKONO ZITTO, ANGALAU ANATHUBUTU, KUTAJIWA MAJINA HALAFU MFUMO UKABAKI PALEPALE NI UJINGA!. JE LISTI YA MWEMBE YANGA HATIMAYE ILIMSAIDIA NINI MNYONGE?. NI LAZIMA TUPIGANIE KUBADILI MFUMO.

KUTAJA MAJINA NI KITU CHEPESI KULKO KUBADILI MFUMO, NA MAADAM USWISS WAMEKIRI KUWA KUNA WATU WANA VIJISENTI HUKO VINGI TU, NI BORA SERIKALI IKACHUKUA HATUA, BADALA YA KUMUATTACK WHISTLE BLOWER YAANI ZZK.
 
dk tunakuheshimu sana sisi watanzania wazalendo tunafuatila sana,

tunachoshangaa ni zitto kulichukulia swala la "accounts za ughaibuni" kama lake binafsi bila ya kushirikisha chama chake,

na kinachotushangaza ni kwa jinsi zito anavyo lihandle hili swala kwa kificho, "hatoi mlisho nyuma"
si kwa chama chake, bungeni wala serikalini" sasa hii ndo inaleta speculations miongoni mwa watu.

zitto amabaye ni swahiba wako anaweza kuwa na nia nzuri ila approach mbaya, hata akitetewa na watu wenye elimu kubwa kama wewe dk sisi huku mtaani hatuwezi kuwaelewa


Nyie watu wekeni akiba mtakosa pakujificha. Yaani hawa akina AG na LK mmewaamini ghafla? Kwa hiyo kesho wakiwaambia ule mkanda wa mabomu ya Arusha ni feki, haupo mtakubali na kuwashangilia?
 

Hao waandishi unaosema si wamehongwa?Nimeshangaa hata gazeti la mwananchi nalo?Tido nilimwamini sana kumbe naye ni wale waleee!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mwenzako ameitwa Ikulu ndogo kuulamba uwaziri, wewe endelea kusema anafanya utani utani

Nilidhani kamati yake ya ufundi unga ume expire kumbe kuna ahadi ya uwaziri?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nafikiri lengo la Zitto lilikuwa kukiingiza mjini chama hasa Dr. Slaa ili adandie hoja baadae amuruke kuwa hana hata jina moja,

aibu ingekuwa kwa Slaa na chama, hongera sana chama makini kwa kutoifanya hoja ya Zitto kuwa ya chama.
 
Reactions: Wed
Mimi haya maCCM hata sijawahi kuyaamini! Kwa nini "ukweli" huo unasemwa sasa?
 

Kama hujahongwa,basi umelogwa!"woga ni dhambi kubwa kuliko dhambi zote"Godbless Lema Mb

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hata hakitaja bado mtampinga tu maana jayari mnamwita msaliti

Akitaja majina ya wezi walioficha nje atakuwa amejipunguzia mzigo ulimuelemea.

Lakini hebu tuulizane. Zitto anashindwa nini kutaja majina ya walioficha fedha nje? hivi kweli anashindwa kutaja majina kwa kuanza na;
  1. Jakaya Kikwete
  2. Ridhiwani Kikwete
  3. Robert Mboma
  4. Abdulrahman Shimbo
  5. Nazir Karamagi
  6. Ezekiel Maige
  7. Andrew Chenge
  8. Zitto Kabwe
  9. Jack Zoka
Jamani hivi tu inampa shida? wacheni akafie mbali mpuuzi sana huyu
 
Reactions: Wed
Ataje anayo?

Kuna kitu kimemtisha sana mpaka akabadilika. Mbona chama chake kiliwahi kutamka hoja ya mabilioni ya uswisi ni ya chama chao ila Zitto alipewa tu jukumu la kuitoa hadharani? Kama usanii si wa Zitto ila CDM kwa ujumla.
 
hii inaonyesha kuwa na lile suala la ukaguzi wa hesabu za vyama vya siasa jamaa alidanganya na alikuwa anataka kupata ujiko tu. huyu hafai kabisa. ila sasa atakuwa ametumika tu kama kondomu, tupa kule
 
Zitto kama hatathibitisha kauli yake ya kutaja majina ya wahusika hataeleweka!
 

Niliwahi kusema hapa. Zitto itafika hatu atamkana mama yake mzazi kwa sababu ya kujifanya yuko perfect na ni mkeli.

Aliwahi kumkana Benn Saanane, watu wakashindwa kuelewa.
Akamkana tena Dr Kitila kwenye ule waraka.. Watu wakashindwa kuelewa.
Sasa atakuja kukana taarifa ya AG... Watu sijui watasemaje.

Tafakari
 
Zitto akitaka asalimike, ataje,ayaweke majina hadharani. Na kama chadema itaendelea kumfuga basi tutathibitisha kuwa ni chama cha kilaghai.

sixgates, kuna thread mwezi uliopita ulipiga sana vita kuwa chadema wanamuonea rafiki yako, nkakupa assignment kuwa usikae tu jf pita mtaani ,vijiweni ,hata kwenye mamlaka za nchi usikie wanavomsema bosi wenu then mlete feedback apa jf....iyo kazi umeifanya?umegundua nini kwenye mwenendo wa bosi wako?>??waiting.....
 
Zitto akitaka asalimike, ataje,ayaweke majina hadharani. Na kama chadema itaendelea kumfuga basi tutathibitisha kuwa ni chama cha kilaghai.
Wewe ndio ulikuwa unampamba ukizani ana lolote ni kwamba hana lolote na hata akienda chama chochote ataishia kuwa mtu wa migogoro tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…