Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Chadema imepoteza mvuto kabisa kwa watanzania.
Hata hivyo zitto ni ajenda ndani ya chadema na upinzani kwa ujumla.anachofannya zitto ni kujaribu ku spin uchaguzi wa chadema ili yeye awe ajenda na watu wasiwaze uchaguzi unaoendelea. huyu mtu haeleweki. kila baada ya saa moja anabadililka.
Ameonewa sana.
Lumumba bana!!!!mbona mwajadili nyie tu!!?mchukueni kama mnamhitaji sana awe mwenyekiti wenu
Ivi Msaky yupo wp siku hizi????
Chadema imepoteza mvuto kabisa kwa watanzania.
anachofannya zitto ni kujaribu ku spin uchaguzi wa chadema ili yeye awe ajenda na watu wasiwaze uchaguzi unaoendelea. huyu mtu haeleweki. kila baada ya saa moja anabadililka.
Ameonewa sana.
Yupo mwananchi bado nadhani ila kuna habar ilisemaga kaenda Mtanzania.....
Jiwe linalojuta.Zitto ni ngumi jiwe
Hata hivyo zitto ni ajenda ndani ya chadema na upinzani kwa ujumla.