Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Nilisema kitambo naendelea kusema kuwa bila zitto hakuna chadema haya sasa motto waja.
 
anachofannya zitto ni kujaribu ku spin uchaguzi wa chadema ili yeye awe ajenda na watu wasiwaze uchaguzi unaoendelea. huyu mtu haeleweki. kila baada ya saa moja anabadililka.
Hata hivyo zitto ni ajenda ndani ya chadema na upinzani kwa ujumla.
 
Tuliosoma pale mlimani tunamfahamu huyu kijana hashauriki. Akiamua la kwake ndilo hilo atakalosimamia. Jambo moja nalo lifahamu kwake, Zito ni mzalendo. Sijui pengine alipopata hela kama alibadilika. Mimi ushauri wangu kwake aendelee kupigana kwenye mfumo ndani ya CDM. Akihama chama ataisha kisiasa, atazidi kupoteza credibility. Nina uhakika kwamba uchuguzi wa mwakani utawaibua vijana wengi charismatic zaidi ya Zito. Nchii hii ina hazina kubwa sana ya watu wenye uwezo.
 
Siasa za Tanzania ni vichekesho vitupu watawala wanajua jinsi ya kucheza na akili za wapinzani.
 
anachofannya zitto ni kujaribu ku spin uchaguzi wa chadema ili yeye awe ajenda na watu wasiwaze uchaguzi unaoendelea. huyu mtu haeleweki. kila baada ya saa moja anabadililka.

Ataweza coz mambo yanaenda vizuri mpaka sasa....no pingamizi, baraza la wazee tayali...BAWACHA NA BAVICHA soon
 
Poyoyo kweli huyu zitto naona ameamua kula matapishi yake mwenyewe mwambieni aka wambie wale alio wambia kule kigoma awaombe msamaha kwaku danganya
 
Yupo mwananchi bado nadhani ila kuna habar ilisemaga kaenda Mtanzania.....

Asante frema 120,kama mshauri mkuu na yeye anaishi kidigi digi basi maisha ya mshauriwa yatakuwa mabaya zaidi unless kama ana'dead consious'
 
Kwanini haya yanakuja kipindi hiki Chadema inaelekea uchaguzi mkuu...? ;

Chama makini Tanzania na duniani Chadema kuweni makini..
 
aende kufundisha wapi? mwandiga shule ya msingi au?
 
Back
Top Bottom