Zitto ni kigeugeu hana msimamo,mnafiki na mtu anayependa kupata mafanikio ya haraka,na kutafuta umaarufu wa kipuuzi unaoweza kugharimu hata maisha yake ya kisiasa. Alisema,ooh sigombei ubunge,ooh sigombei urais,ooh nataka nifundishe,ooh na sasa nikikosa urais nagombea ubunge kG mjini. Zitto nilkuwa namuona kiongozi bora,kumbe ni mhuni tu katika siasa,hajatulia kama akina Mnyika. Anaona kuacha posho na vijisenti itamcost. Watu maprof wanaacha kufundsha vyuoni na kuingia ktk siasa,yeye na njaa zako kutoka mwandiga huko unasema nini. Siasa ni kama kilevi au bangi kuacha ni ngumu,angalia akina Mrema hadi leo hawataki kutoka kwenye siasa,hajiulizi kwa nini.
Ushauri wangu kwake.
Aendelee tu na ubunge wake,urais hauwezi,asje akajilaumu bure kwa kukosa posho za ubunge kwa miaka 5 bure.