Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani post ya kwanza mpaka kumi ni ID za chama.????? Sasa naamini maneno yamzee tupatupa, afanye kukusanya hizo tablets tuu kama vichwa ndo hivyo vya,kutegemewa.
Zitto jembe
Zitto ni kati ya vijana wahuni utadhani kalelewa mitaani

Dawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni
Mzee Tupatupa
Nilisema kitambo naendelea kusema kuwa bila zitto hakuna chadema haya sasa motto waja.
Tuamke sasa tuende kujenga uchumi wa nchi yetu.
Nikiwa napitia magazet asb hii, jana tuliona habar ya wapambe walimfitini mh.zitto kwa mh. mbowe ndani ya mwananchi, leo anasema hivi juu nimejaribu kupitia ndani habari hii ni muendelezo either wakujuta kwa mh huyu au kutoelewa maneno yake juu ya kuachana na ubunge nakwenda kufundisha.
Source: MWANANCHI FRONT PAGE.