Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Wazo la upofu hiloo!!ukawa washajiunga kuing'oa ccm kwa iyo hakuna mgombea wa chadema mwakani ifahamike yuko wa ukawa tu!!
Mkuu UKAWA si chama hivyo haitakuwa na mgombea. Wagombea watagombea kwa tiketi ya vyama na UKAWA itakuwa inawaunga mkono na siyo ukawa kusimamisha mgombea!
Angalieni msije kuwapotosha wapiga kura wakawa wanatafuta mgombea wa Ukawa wanamkosa ni mwishowe wanaamua kuwapigia wagombea wa CCM.