Nimepitia tovuti ya bunge nakuona Zitto amezaliwa 24 sept 1976. Kikatiba mgombea Urais anatakiwa awe na miaka 40, sasa nawauliza wadau ifikapo oct 30,2015 Zitto hatakuwa na miaka 40? Mimi nilitatanishwa na hili siku ya ijumaa kuu so wadau naomba mawazo yenu ili kama vipi nikamshawishi achukue fomu, maana jamaa anaweza!!
Wewe ukipata ubunge utakuwa wa kulala bungeni tu! Si ajabu ukaanza hata kukoloma