Nimepitia tovuti ya bunge nakuona Zitto amezaliwa 24 sept 1976. Kikatiba mgombea Urais anatakiwa awe na miaka 40, sasa nawauliza wadau ifikapo oct 30,2015 Zitto hatakuwa na miaka 40? Mimi nilitatanishwa na hili siku ya ijumaa kuu so wadau naomba mawazo yenu ili kama vipi nikamshawishi achukue fomu, maana jamaa anaweza!!
Mselewa mimi ni myunani. Anyway acha nikukumbushe kuwa hata siku mpya huanza kuhesabiwa saa 6:01 usiku,shughulisha akili na roho yako kwa pamoja pse!Wewe wa wapi? 1976-2016 na si vinginevyo. Shughulisha akili hata kidogo
Naona wewe umeanzia kukoroma hapahapa jf, changamsha ubongo wako!Wewe ukipata ubunge utakuwa wa kulala bungeni tu! Si ajabu ukaanza hata kukoloma
Kama alivyo saliti chama kilicho muibua na kumtegeneza!hata huku kwetu CCM huyu jamaa hana tija hata kidogo kwani ilye onja nyama ya binadamu hataacha kuila!my take huyu jamaa anamtegenezea nafasi Bwana mkubwa wake ili vikao vya chama CCM itapokatwa jina la huyo mheshimiwa amkabidhi nafasi!my take this is a very cheap politics wataanguka wote kwa aibu...Kama ni kugombea tu ana weza ila hana sifa za kuwa rais vinginevyo watanzania tutaachwa kwenye mataa.
Wewe wa wapi? 1976-2016 na si vinginevyo. Shughulisha akili hata kidogo
Nimepitia tovuti ya bunge nakuona Zitto amezaliwa 24 sept 1976. Kikatiba mgombea Urais anatakiwa awe na miaka 40, sasa nawauliza wadau ifikapo oct 30,2015 Zitto hatakuwa na miaka 40? Mimi nilitatanishwa na hili siku ya ijumaa kuu so wadau naomba mawazo yenu ili kama vipi nikamshawishi achukue fomu, maana jamaa anaweza!!
Huu uzi nani kaufufua.?kutiana aibu tu.!!