Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
mbona kuna watu walisema eti katangaza atagombea kigoma mjini au ndio zile siasa za kupakana matope wanazofanya watu flani
lakini pia alisema watu wa Geita wanamuomba akagombee huko....alipoenda kunadi chama chake shughuli aliiona
Alisema kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka vyama vingine wanaomba kujiunga na ACT lakini mpaka leo siwaoni
Alisema wabunge wote wa upinzani toka kigoma ili wadhinde uchaguzi ujao lazima wajiunge na ACT lasivyo watashindwa...nasubiri uchaguzi ujao nione
Alisema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema hapa sijui alimaanisha nini....
JAMAA HAAMINI ANACHOZUNGUMZA NA ANAZUNGUMZA ASICHOAMINI.
Jifunze kusoma na jifunze kuangalia tarehe siyo kudandia treni tu kwa mbele.
Nilivyoelewa mie ni kwa ticket ya cdm nahisi vyama vingine atagombea
Haya zamani tuayacheni,Ulimi uliteleza tu mweshimiwa akajikuta anaongea bila kujua.
CCM inaunga mkono mawazo ya yeyote yule yanayodhihirisha nia njema kwa maendeleo, mshikamano, ulinzi na usalama wa Taifa...
Jifunze kuangalia tarehe wewe Mwanamkeimekuuuma mama ni kama imeingia vibaya
haahaa huyo ndo mgombea ubunge kigoma mjini. kila siku ni kubadilikabadilika...
Zitto ni hazina Chadema, kuondoka kwake iwe kwa mazingira yoyote yawayo ni HASARA na PIGO kubwa sana kwa Chadema.
Nawahakikishia iwapo hii ni kweli, Chadema itapasuka. Period!
sixgates We mwenyewe unaonekana hamnazo halafu unawaita wenzako wajinga. Sisi tupo na Zitto because yeye yupo kitaifa zaidi na sio kichama. Kwenye mambo ya msingi yanayohusu taifa kwa ujumla anawekaga itikadi za siasa pembeni.
Ni mtanzania halisi wala sio mkanda,mdini wala mkabila.
Toka povu ila halitosaidia.
Huu uzi nani kaufufua.?kutiana aibu tu.!!