Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

 
....mnafiki ni mtu
mwenye nyuso mbili (ndani yake na nje
yake ni tofauti) na alama zake ni tatu...

(1) AKIZUNGUMZA HUSEMA UONGO

(2) AKIAHIDI HATIMIZI AHADI

(3) AKIAMINIWA HUFANYA KHIYANA
 
naamini sasa masaa 24 ni mengi sana kwa mwanasiasa but ni magumu sana kwa washabiki na vitimbakwila wa siasa
 
SOMENI THTREAD NYINGINE YA HUMU JF ZITO KUGOMBEA UBUNGE 2010

hii thread ilichangiwa sana kama hii, hapo alianza kudai hatogombea 2010 na akaja akagombea ili mpate flavor nzuri iwekeni hiyo thread hapa ipo humu jf
 
Hahaha huyu jamaa ni bingwa we kutoa kauli mbali mbali na baada ya kipndi kifupi anasahau alichokuwa amesema...nihuyuhuyu alisema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema
 

Huyu ni kinyonga, ni mtu wa hovyo. Sijawahi kuona mwanasiasa wa hovyo kama huyu. Ni muongo halaf mpenda sifa. Mwenye akili hawezi kuhangaika nae
 
Fortunately sasa rangi yake imeonekana.
Ni mwongo, ana kauli tata, hana msimamo in that case, anapenda siasa za kuyumbishana, anapenda coverage ya media hata kwa kufanya au kuongea kitu chochote.

Hii ilikuwa 2013 tu, 2009 aliongea mengine tena, na hakufuata hata moja.
 
Kweli siasa ni kama upepo wa kaskaz -kusin,leo jamaa anaonekana mbaya!,kipindi flani alionekana shujaa!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…