Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Binafsi ninawasiwasi kwa kinachoendelea Kati ya Zitto na CHADEMA kuwa huenda ni maigizo ya kuwapumbaza ccm....

huenda ccm wameshitukia mpango mzima wameamua kumubwaga Zitto kiukweli ukweli....

lolote linawezekana rejea maneno ya Zitto.

"usimwamini mwasiasa awe chama tawala au upinzani"
 
Kumbe kila kitu hasemi ukweli.Hatendi ukweli. Kazi ni kujichora tu kuwa yu sahihi muda wote;mpambanaji;mfuata Kanuni;anayefuatwafuatwa;anayesemwa vibaya;anayenyanyaswa na kadhalika. Kumbe, wapi! Leo Tanzania imeambiwa 'ukweli'. Ukweli kuwa Zitto anafanya maigizo tu kuhusu mabilioni ya Uswisi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mnadhimu wa Serikali Bungeni, Jaji Fredrick Mwita Werema na William Lukuvi,kama nilivyowataja, 'wamemuanika' Zitto.

Wakichangia kwa kufuatana, Werema na Lukuvi wamesema kuwa Zitto hana hata jina moja la walioficha mabilioni Uswisi-hoja anayoishupalia Zitto kila uchao. Wakasema kuwa Zitto, kwa kiapo (Affidavit) ametamka na kuthibitisha kuwa hana hata jina moja la mficha-mabilioni Uswisi. Mimi siamini!

Kumbe Zitto ni mtu wa utani hivi kwa watanzania!?? Hoja amewasilisha Bungeni;amekutana na viongozi mbalimbali wa kidunia kuhusu suala hili;amesafiri kwenda Ujerumani mara kadhaa kwa suala hili na kadhalika. Kweli atubabaishe wakati wote huo? Siamini.

Kama Zitto amechokozwa leo (na tena amedhalilishwa), umefika muda wake kujibu mapigo. Kutaja majina ya waficha-mabilioni Uswisi. Hana haja ya kumpa Godbless Lema. Ataje mwenyewe. Muda ni huu.Akishindwa, tutamuona muongo sana. Atakuwa hafai (na kutamka kimatendo kuwa hautaki) Urais wa nchi hii wala Uenyekiti wa chama chake cha CHADEMA.

CCM 'tumembeep', kama anaweza atupigie!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

NO mimi nakubaliana nawe kwa asimilia zote .Sasa Zitto come out tueleze hayo majina na mengineyo ya idadi za pesa unazojua kwenye kila account .Hii ni aibu kubwa kama hatasema kwa uwazi .Mimi naamni kwamba Zitto anajua alicho kifanya time now kaka Zitto njoo tutoe kimaso maso
 
Nyie watu wekeni akiba mtakosa pakujificha. Yaani hawa akina AG na LK mmewaamini ghafla? Kwa hiyo kesho wakiwaambia ule mkanda wa mabomu ya Arusha ni feki, haupo mtakubali na kuwashangilia?
 
Mungu akiamua kuokoa taifa usipingane nae. Zito aliamua kula haki ya watanzania na sasa Mungu anazidi kumuumbua. Chezea haki wewe...
 
Pesa zitunzwe uswis harafu ziara za kufutilia Ujerumani, kumbuka alifuta vile viseeentiii vyakeeee baadaaa ya kuweeekeewa na Zoooookkkkkkkka
 
zitto hata kama anamakosa kiasi gani bado ni kiongozi bora kabisa ndani ya chadema.
 
Zitto akitaka asalimike, ataje,ayaweke majina hadharani. Na kama chadema itaendelea kumfuga basi tutathibitisha kuwa ni chama cha kilaghai.

Pamoja na steps zote Chadema ilizofanya juu ya Zitto bado unaona ni laghai wakati nyie hapo Lumumba LLC mkimshangilia kwa nguvu za buku 7? Simameni mhesabiwe.
 
Pesa zitunzwe uswis harafu ziara za kufutilia Ujerumani, kumbuka alifuta vile viseeentiii vyakeeee baadaaa ya kuweeekeewa na Zoooookkkkkkkka

Ngoja aje awataje ukute wazee wenu wote ndani ya ufisadi sijui mtasema nini tena.
 
Nyie watu wekeni akiba mtakosa pakujificha. Yaani hawa akina AG na LK mmewaamini ghafla? Kwa hiyo kesho wakiwaambia ule mkanda wa mabomu ya Arusha ni feki, haupo mtakubali na kuwashangilia?

mwalimu aliyeasi taluma yake na kuwa mwanaharakati.
 
Kumbe kila kitu hasemi ukweli.Hatendi ukweli. Kazi ni kujichora tu kuwa yu sahihi muda wote;mpambanaji;mfuata Kanuni;anayefuatwafuatwa;anayesemwa vibaya;anayenyanyaswa na kadhalika. Kumbe, wapi! Leo Tanzania imeambiwa 'ukweli'. Ukweli kuwa Zitto anafanya maigizo tu kuhusu mabilioni ya Uswisi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mnadhimu wa Serikali Bungeni, Jaji Fredrick Mwita Werema na William Lukuvi,kama nilivyowataja, 'wamemuanika' Zitto.

Wakichangia kwa kufuatana, Werema na Lukuvi wamesema kuwa Zitto hana hata jina moja la walioficha mabilioni Uswisi-hoja anayoishupalia Zitto kila uchao. Wakasema kuwa Zitto, kwa kiapo (Affidavit) ametamka na kuthibitisha kuwa hana hata jina moja la mficha-mabilioni Uswisi. Mimi siamini!

Kumbe Zitto ni mtu wa utani hivi kwa watanzania!?? Hoja amewasilisha Bungeni;amekutana na viongozi mbalimbali wa kidunia kuhusu suala hili;amesafiri kwenda Ujerumani mara kadhaa kwa suala hili na kadhalika. Kweli atubabaishe wakati wote huo? Siamini.

Kama Zitto amechokozwa leo (na tena amedhalilishwa), umefika muda wake kujibu mapigo. Kutaja majina ya waficha-mabilioni Uswisi. Hana haja ya kumpa Godbless Lema. Ataje mwenyewe. Muda ni huu.Akishindwa, tutamuona muongo sana. Atakuwa hafai (na kutamka kimatendo kuwa hautaki) Urais wa nchi hii wala Uenyekiti wa chama chake cha CHADEMA.

CCM 'tumembeep', kama anaweza atupigie!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mkuu labda we ni msahaulifu.
Wiki iliyopita waziri mkuu kamwita muongo kwa kupotosha wananchi kuwa yeye anapokea mamilioni ya shiling wakati ni mil 6 tu.
Mpaka leo Zito hajaleta ushaidi wa mamilioni ya Pinda. Sasa unataka athibitishe majina?
 
Nyie watu wekeni akiba mtakosa pakujificha. Yaani hawa akina AG na LK mmewaamini ghafla? Kwa hiyo kesho wakiwaambia ule mkanda wa mabomu ya Arusha ni feki, haupo mtakubali na kuwashangilia?

u got a point there, dr.

nimekaa najiuliza sana tangu Werema alivyotamka aliyoyatamka leo bungeni napata ugumu katika kuunganisha nukta.

what's the catch Werema? what's IT??
 
Nyie watu wekeni akiba mtakosa pakujificha. Yaani hawa akina AG na LK mmewaamini ghafla? Kwa hiyo kesho wakiwaambia ule mkanda wa mabomu ya Arusha ni feki, haupo mtakubali na kuwashangilia?

Kitila Mkumbo mimi naamini Zitto ni mbunge makini. kwa hili nasimama na AG werema. Na kama mtu mzima kama wewe unafundisha watu wasiamini yanayozungumza na mwanasheria mkuu, unataka tumwamini nan?

Kama ikija kuthibitika kuwa werema kadanganya, na pakawa na facts kadanganya tutabadilika na kufuata kile chenye fact. Scientist ni yule alieko tayari kubadilishwa mawazo na mtazamo pale anapopata facts.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe kila kitu hasemi ukweli.Hatendi ukweli. Kazi ni kujichora tu kuwa yu sahihi muda wote;mpambanaji;mfuata Kanuni;anayefuatwafuatwa;anayesemwa vibaya;anayenyanyaswa na kadhalika. Kumbe, wapi! Leo Tanzania imeambiwa 'ukweli'. Ukweli kuwa Zitto anafanya maigizo tu kuhusu mabilioni ya Uswisi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mnadhimu wa Serikali Bungeni, Jaji Fredrick Mwita Werema na William Lukuvi,kama nilivyowataja, 'wamemuanika' Zitto.

Wakichangia kwa kufuatana, Werema na Lukuvi wamesema kuwa Zitto hana hata jina moja la walioficha mabilioni Uswisi-hoja anayoishupalia Zitto kila uchao. Wakasema kuwa Zitto, kwa kiapo (Affidavit) ametamka na kuthibitisha kuwa hana hata jina moja la mficha-mabilioni Uswisi. Mimi siamini!

Kumbe Zitto ni mtu wa utani hivi kwa watanzania!?? Hoja amewasilisha Bungeni;amekutana na viongozi mbalimbali wa kidunia kuhusu suala hili;amesafiri kwenda Ujerumani mara kadhaa kwa suala hili na kadhalika. Kweli atubabaishe wakati wote huo? Siamini.

Kama Zitto amechokozwa leo (na tena amedhalilishwa), umefika muda wake kujibu mapigo. Kutaja majina ya waficha-mabilioni Uswisi. Hana haja ya kumpa Godbless Lema. Ataje mwenyewe. Muda ni huu.Akishindwa, tutamuona muongo sana. Atakuwa hafai (na kutamka kimatendo kuwa hautaki) Urais wa nchi hii wala Uenyekiti wa chama chake cha CHADEMA.

CCM 'tumembeep', kama anaweza atupigie!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Ashapewa Chake Akapewa Affidavit Kwisha Abareeww
 
Back
Top Bottom