Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Kama pesa za Tanapa na Ngorongoro wanabeba TRA basi hakuna la kushangaza hapa.
 
Mbaya zaidi huku zinapochukuliwa kunazidi kutejetea kwa kushindwa kufanya uendeshaji wake na kupelekea kushindwa kuhudumia nyingi ya huduma za msingi na hivyo hata mapato hayo kushuka kutokana na wekezaji mpya na utoaji mbovu wa huduma.
 
unawaapa lengo TRA 2T wakusanye alafu wakifungia na kuua biashara unarudi tena kuwafunga.LENGO KUBWA MNO UKILINGANISHA NA MDORORO WA BIASHARA UNAOENDELEA HAPA NCHINI.
 
Ushauri wangu:
1. TRA wangekuwa wanatangaza mapato hata miezi ambayo hawajafanya vizuri na kutoa sababu za kutofanya vizuri. Hii itawajengea credibility zaidi (kama ni mojawapo ya vitu wanataka).

2. Kumekuwa na malalamiko (siku za karibuni) dhidi ya namna yao ya kukusanya kodi. Watu wanalalamika kutotendewa haki. Inaweza kuwa kweli ama sivyo. But hilo ni suala la kuwa nalo makini. Linaleta chuki dhidi ya serikali.

Ni sifa kufikia au kuzidi malengo, lakini hilo likitokea kwa gharama ya kuumiza walipakodi, sio kitu kizuri kwa baadae(not sustainable) hasa kama biashara zinakufa kutokana na tax administration mbaya.

Nasubiri kusikia zaidi kutoka kwa ZZK juu ya ukweli wa taarifa ya TRA.....ni pishi kweli?
 
Mnajisifu kutuumiza na makadirio na faini za hovyohovyo,makusanyo ya dhuluma,mamlaka inakusanya kodi kibabe,inabambikia wafanyabiashara kesi mbaya za uhujumu uchumi,hamshangai wananchi waliopaswa kuwapongeza wanawazodoa badala yake mnajipongeza wenyewe,kama mnaona wafanyabiashara wanafaidi hemu acheni kazi nanyinyi mfanya biashara muone.
 
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter

“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba....
Hivi Kuna watu bado wanamsikiliza Zitto?
 
Hili lipo wazi.
No way tra can make 2tr.
Meko is trying to fool himself

Centralisation of government revenue is a way to go, particularly in terms of accountability! I think the ambition is generally desirable, the question is whether the approach is feasible.
 
Wananchi hali ngumu hawataki hadithi
 
Zitto nae vipi, kwahiyo TRL2 anaona ni pesa nyingi ambazo Tanzania haiwezi kusanya? Hata hapo bado tuko nyuma, tunatakiwa tukusanye zaidi ya tril 3 kwa mwezi, hii pesa ni kidogo kwa nchi hii, hatuwezi debate kwenye hili, hatua ni nzuri lakini we have to aim higher , sasa zito kama anaona tril 2 kwa mwezi ni nyingi basi ni hatari, ndio maana tumedumaa.
 
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter

“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba...
Zitto kazi kujidai mchumi wala hajui.
 
Happy New Year rafiki
 
Mwezi huu december Kuna watalii wengi tena matajiri wakubwa wamekuja Serengeti na Ngorongoro. Pia kwenye hifadhi zesty watalii wengi sana wametembelea katika hizi sikukuu.

Si ajabu TRA kuja na hizo figures as serikali wameelekeza hela za hizi sekta nguli zikusanywe na wao
 
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter

“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba...
Zitto angeendelea kuiponya nchi tu aache haya mambo maana tushamjua ni snich
 
[emoji15][emoji15][emoji15]kwaiyo unataka kusema hata mapato ya HESLB, TTCL, NHC, TRA, ATC yamewekwa kwenye ripoti ya TRA?
 
Hiki ulichoandika ndio usahihi, kwa kifupi ni kwamba pesa karibu zote zikusanywa na TRA ndio maana mifumo ime'paralyze'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…