johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani huko anakokimbilia BoT siyo serikali?!Kwani serikali ni Mungu mpaka isipingwe au kuhojiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huko anakokimbilia BoT siyo serikali?!Kwani serikali ni Mungu mpaka isipingwe au kuhojiwa?
Lumumba ni kiwanda cha uongo na majunguSerikali imetoa taarifa kwa wananchi kwamba mwezi December 2020 imekusanya kodi "tsh bilioni 2."
Taarifa imetolewa na Katibu mkuu wa Hazina, unashindwaje kuiamini?tatizo hii awamu fix sana ngumu kuiamini
Huhitaji kukereka na zito, chagua upande wa kuamini. Zito ana haki ya kufanya afanyavyo.Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili...
Kwa hiyo hata kama takwimu zinazotolewa hazihakisi ukweli na pia ni zenye kutia shaka watu wenye uelewa wa kina na mambo ya kodi hawapaswi kutoa maoni yao!?Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili...
Anajidai tu,kumbe ni nani?.Zitto kazi kujidai mchumi wala hajui.
Acha uongo wako hapa!Kwanza kumbuka mwenyewe alitamka kuwa hataongeza mishahara kwasababu anajenga reli na kugharamia miradi mingine.Shifting goal posts!
Ukishindwa kwenye hili unakimbilia lile.
Wage bill(gharama ya mishahara) imeongezeka sana kutokana na kuajiri wafanyakazi wapya, kulipa madeni ya wafanyakazi na kupandisha madaraja. Kwa hiyo siyo kweli kwamba saving ya mishahara imesababisha kuhamia Dodoma.
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter
“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba...
Kusema takwimu za " kubumba" ndio kutoa maoni bwashee?Kwa hiyo hata kama takwimu zinazotolewa hazihakisi ukweli na pia ni zenye kutia shaka watu wenye uelewa wa kina na mambo ya kodi hawapaswi kutoa maoni yao!?
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili.
Serikali imetoa taarifa kwa wananchi kwamba mwezi December 2020 imekusanya kodi tsh bilioni 2...